Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WANA JF, NATUMAI MU WAZIMA WA AFYA. NINATAKA KUANZA KUFANYA BIASHARA YA UKOPESHAJI WAJASIRIAMALI KWA RIBA AMBAYO NI REASONABLE KWA PANDE MBILI ZOTE ( MIMI MKOPESHAJI NA MKOPAJI). KIWANGO...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ili kusajili kampuni au NGO yako ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714784154/0753784154 au fika ofisini kwetu Mandela Road - Dar (Opposite na Mabibo Hostel)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna kampuni hapa Poland wameomba niwaulizie upatikanaji wa bidhaa hizi, yaani Dhahabu na Mafuta ya mawese. Sijui kama mpango utafanikiwa ila kama kutatokea maelewano basi kuna...
1 Reactions
38 Replies
12K Views
Hii ni mara ya pili huu mkampuni wa simu unapoteza network bila maelezo wala kuombana radhi..Watu wanaitumia kampuni kwa malengo mengi ikiwa sasa ni bank ya mkononi pia. Zanzibar tangu jana...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ninakaribisha maombi kwa Bank mbali mbali wanaotaka kuweka ATM kwenye nyumba yangu ambayo inatazama Barabara iko sehemu ambazo hakuna ATM yeyote eneo hilo Naomba kwa wanaotaka kuona sehemu...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Wizi wa elektoniki unaonesha kushika kasi jijini baada ya watu wawili kuibiwa fedha zao kwa kutumia MasterCard. Mmoja wa waandishi waandamizi wa gazeti la HabariLEO, Bantulaki Bilango mwenye...
0 Reactions
34 Replies
11K Views
Explorers Aminex and Solo Oil said they were seeking a partner to help pay for their hunt for oil and gas in Tanzania, a country attracting high interest from oil majors who see East Africa as a...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Wanaotaka mjengo wa nenda na wakati mwaonaje na mtindo huu wa dream house?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za kazi ndugu, naombeni ushauri nimekuwa ninashida generator lenye 5.5 KV but mfuko wangu hauruhusu kununua product mpya kama KAMPUNI ya honda. Hivyo nimekuwa nikizunguka sana madukani...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
Tunazo apartment za kuuza zilizopo kariakoo mtaa wa Mafia na sukuma zinauzwa kwa $ 120,000 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0657 145555 na 0755 099 291 . maeneo ya kuweka ATM tunayo kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Energy and Minerals' deputy minister, George Simbachawene has called on lawyers to be patriotic, when it comes to signing contracts on oil and gas explorations, so that Tanzanians benefit from the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mr. Lawrence Mafuru The Chief Executive of Barclays Africa and Head of Africa Group Strategy, Mr Kennedy Bungane, said here on Monday Evening that the investigations had been...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
With World Bank’s funding, the Bank of Tanzania is launching a credit bureau databank Clients' information will be made available to all banks and financial institutions to make it easy for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya Ndege ya Precision Air ina wanyanyasa abiria wa wanaokwenda mkoa wa Mtwara. Hii nimeishuhudia mwenyewe leo abiria hao ambao walikuwa waondoke saa tatu (3) asubuhi matokeo yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi nina milioni 7, tusaidianeni mawazo ya kibiashara.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mnifumbue masikio jana nimesikia kwa mbali kuwa tanzania kuna shirika jingine la ndege litaanza safari zake kwa kutumia ndege kubwa za air bus nimekuta kipindi ndio kinaisha sikuelewa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Many African customers still don't care to know what their banks offer as solutions before choosing to open an account. They are mostly obliged by necessity and not services While researching...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Kuna rafiki yangu kutoka japani amenitumia Gari GX110 D-4 Engine sasa nisingeweza kulikataa,Je sehemu gani wanauza mafuta yasiyochakachuliwa?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
IT security is a headache for the banking sector in Africa, but more so, for smaller regional banks Cyber-attack, particularly fraud, is one of the biggest threats to small banking...
2 Reactions
3 Replies
991 Views
UKOROFI WA MCHINA: SAMSANG YAWALIPA APPLE $ BILLION 1 KWA KUPELEKA MALORI 30 YENYE SARAFU ZA SENTI 5 Juzi malori 30 yaliyokuwa yamejaa sarafu (ama kunogesha zaidi chenchi) za senti tano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom