Juzi Niliwasiliana nao wanifikishe hapo Johannesburg..ndipo Nilipojibiwa kwamba Routes za South Africa Zimefutwa ...
NikijumlishA za Zile Delay za flights zao nakuwa nime elewa ...
Wadau...
Jamani hivi hizi ac za crdb tawi la mwanza zina tatizo gani?wateja wengi na hewa ni mbaya mno,ni tatizo la mda mrefu jaman wahusika tunaomba mshughulikie hii kero maana tumechoka.
Jamani wapendwa naomba mtu anayeweza kunisaidia kuniunganisha na mtu tigo ili nipate uwakala wa tigo pesa.
Nimekwenda mahali fulani nikaacha hela yangu tshs. I million kwa miezi kadhaa kila siku...
Kampuni ya simu ya Airtel wanaibia wateja wao kupitia modem zao, wameshanijeruhi zaidi ya mara tano. Wanaiba kupitia bundle unazonunua, mfano leo unanunua bundle unatumia kwa siku 9 siku ya pili...
Wadau,
Leo napenda kutoa machache kuhusu vyuo vya uandishi wa habari na utangazaji hapa Tanzania kuanzia ngazi ya cheti na hata ngazi ya juu. Ukweli usiopingika bidhaa au wanafunzi wanaotoka...
Monday, 17 September 2012
FastJet, Africas first low-cost carrier, announced that it will establish its first operating base at Dar es Salaam, Tanzania. The airline will commence flying in...
The former Minister for East African Cooperation and the current Ambassador to Belgium, the Netherlands, Luxembourg and the European Union, Dr Diodorus Kamala, has said that Tanzania remains the...
Wadau nasikitika kuwa kampuni ya simu ya mikononi Tigo wanakata fedha katika simu kila wanapotuma SMS zao juu ya ujio wa Rick Ross kwenye tamasha la fiesta.
Binafsi sijaomba kupewa taaarifa...
HE Fair Competition Tribunal has thrown out an appeal filed by 13 Oil Marketing Companies (OMCs) opposing the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) new oil pricing formula of...
Wapendwa wana JF,
Asalaam Aleykum/Bwana Yesu apewe sifa.
Natumai wote mu wazima wa afya.
Mimi ni mjasiliamali, katika pita pita zangu nilikutana hii kampuni (TPSF) ikitoa grant kwa wafanya...
Dear Members,
Naomba mtu anisaidie maelekezo ya kutoa mzigo ambao umetumwa kwenye taasisi ya elimu ambao unakuja kama donation. Kuna jamaa yangu anasoma huko nje sasa sehemu ya project yake...
Natarajia kurudi Tanzania ili kuendesha maisha yangu yaliyobaki mpaka kitakapoeleweka.
Nina Kiwanja Kibaha Lower Density , nataka kukitumia Kuombea Mkopo kwenye Mabenki yetu ya Biashara ! Je...
Wanajamii, hali ya mauzo ya sukari ya ndani ni mbaya. Magodown ya kiwanda cha sukari cha kilombero yamejaa na sasa sukari inawekwa nje ikipigwa na jua tuombe mvua za vuli zichelewe kunusuru sukari...
Most of us are born procrastinators. Thats why we start saving late in life and hope to make up the difference by hitting the lotto or, if we must, by working longer. Neither is a great strategy...
wadau naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu namna ya kusajili bidhaa kwenye Shirika la viwango vya ubora wa bidhaa Tanzania (TBS) na Mamlaka ya kudhibiti chakula na dawa Tanzania (TFDA). naomba kujua...
Shirika la tanesco linafanya mabadiriko katika utendaji mzima,je unataka iweje?
Tao Maoni yako kupitia
Email:tanesco.iweje@tanesco.co.tz
Facebook:Tanesco Iweje
Aliongeza gesi asili ni nafuu kwani mteja aliyekuwa anatumia mitungi miwili ya LPG ya kilo 15 kwa mwezi atapunguza gharama kwa kutumia gesi asili ya Sh. 50,000 kwa miezi sita. Mtungi wa...
Kutokana na location niliyopo ni wilayan ofisi za tra hawatoi tin mpaka mkoan nami nature ya kazi Inabana kutoka weekdays mpaka wkend, je naweza kujiregister kupata tin online? Or any other option?
Serikali imeanzisha mfumo wa kuweka
rekodi za wakopaji wa taasisi za fedha
ili kudhibiti upotevu wa mikopo kupitia
wateja wasio waaminifu.
Pia mfumo huo utasaidia kupunguza
masharti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.