Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

In line with an eagerly awaited ATCL take-over by Sonangol, the ATCL management*rushed to lease A320-214 from Wallis Trading, a company said to have a close*working relationship with Sonangol...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wakuu hizi pikipiki aina ya boxer ziko fresh? Hazisumbui? Na bei yake ikoje na anaetaka kufanya biashara na mimi ani pm Nitashukuru kwa mawazo yenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, kuna kifaa nataka kununua Amazon.com chenye ukubwa wa 14 x 13 x 7 Inches 17 Paunds naomba kwa anayejua gharama za kutuma na jinsi ya kutuma Asante
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimefuga kuku 180 wa mayai (kuku wa kisasa). Lakini naona hawatagi mayai ipasavyo. Niliwanunua kuku hawa mwezi wa april tar 15, 2012 wakiwa vifaranga kabisa. Nimehudumia tangu aprili hadi leo...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu, Mkijaribu kufuatilia triend ya Biashara Duniani, Ushindani ni wa Hali ya Juu kabisa, na si kwa makampuni madogo tu, No makampuni makubwa ndo wako katika hatari zaidi, Na kwa sasa Kampuni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi ni bastola mbovu sana katika historia, zinazouzwa na Tanganyika Arms Ltd ya moshi. Kama unayo bastola ya aina hii ni bora uwarudishie mapema wakupe nyingine maana wakati utakapovamiwa na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau nataka kuagiza toyota verossa ..CIF usd 3000...kodi wanaweza kunicharge kiasi gani....nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana JF nina hitaji msaada kama kuna mwenyeji wa Hombolo Dodoma, ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo ni muajiliwa mpya chuoni. Vile Vile kama naweza kupata kiwanja cha kujenga kwa gharama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf heshima kwenu. Ni kweli ajira zinasumbua wasomi wengi tuna picha ya kukaa ofisini kwenye kiti cha kuzunguka na kiyoyozi pindi tumalizapo chuo. Mimi kama kijana nataka kuanzisha biashara ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu katika uwanja wa biashara sasa hivi kumekuwepo na wingi wa makampuni makubwa duniani katikan kila sekta, tukianza sekta ya Habari, Teknolojia, Media, Fedha, Afya na Madawa n.k...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Thu Sep 20, 2012 2:01pm GMT NAIROBI, Sept 20 (Reuters) - The Kenyan and Ugandan shillings are seen easing against the dollar in the next week, while the Tanzanian shilling and Zambian Kwacha are...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jf members naomba msaada kwa yeyote anae jua ha2a za kusajiri kikundi cha ujasilia mali, 2meungana vijana 10 ambao 2nachimba visima,ujenzi wa nyumba, umeme wa solar, na kuvuta maji machafu ktka...
1 Reactions
9 Replies
12K Views
By Vision Reporter The business community in the capital Kampala under their umbrella body, Kampala City Traders Association (KACITA) has resolved to suspend using the Kenyan Mombasa port...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The National Institute of Transport (NIT) at Ubungo, Dar es Salaam, has allocated four hectares of land at the institute to provide room for construction of a vehicles’ parking lot. The parking...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnisaidie. Nimepata sehemu mbili za kuweza kuchukua mkopo. NMB watanipa kwa 15% diminishing balance na SACCOS 13% flat rate. Yote ni kwa miaka mitatu. Ni wapi penye nafuu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna faida gani kuendesha biashara au shughuli yoyote kikawaida (yaani bila kusajili kama kampuni) na kuisajili/kuiendesha biashara.shuguli yoyote kama kampuni? Tusaidiane jamani tujue mwelekeo wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wetu, Tunapokea maombi mapya tena sasa kwa wale wanaotaka kuanzisha radio sehemu mbalimbali hapa Tanzania. Saivi tuna miradi 3 na radio hizi kufikia January zitakuwa zimeanza. Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna stationery inahitajika heavy photocopy machine ukiwa nayo ni sawa na hata pia ukiwa na viwezeshaji vya kuipata sawa ni PM kama uko tayari iko eneo lenye msongamano wa watu pia karibu na chuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HIVI TAKUKURU WANAKZI GANI ? au mpaka watu waseme ? TISS je? si walitakiwa walijue hili mapema ? Bulk oil imports system runs into serious trouble Written by...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam Wanajamii. Kuna mtunzi mmoja wa vitabu Anaitwa Jack Canfield ( American # 1 success coach). Ametunga vitabu kama 1. Chicken Soup for the Soul 2. The power of focus 3. The success...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…