Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna...
President Jakaya Kikwete yesterday inaugurated the Dar es Salaam Rapid Transit (DART) project, saying plan to construct two temporary stations costing 2bn/- each, could translate into gross misuse...
Kama kuna yeyote anayejua tafadhali tujuze. Kinachoendelea na hisa za ndege za precision ni nini? Mbona kimya? Mbona hatujaona imeingia katika soko la hisa? Au tumeingizwa mjini? Baada ya kupata...
Habari wana JF.
Mimi ni kijana ninayeanza ujasiliamali, na hivi karibuni nimeanzisha biashara ya M-pesa na nafaka hapa Iringa. Napata wateja wengi sana kuliko uwezo wa mtaji wangu, nahitaji...
Tigo in partnership with Swedish non-profit organization Reach for Change launched today the Tigo Reach for Change initiative, which focuses on identifying and supporting local social...
Wana jamii forums nimesoma kwenye gazeti la IPP la tarehe 6 July, na kuna maelezo kuwa Unesco wamekubali kuachia kilomita 200 za mraba katika mbuga ya Selous kwa ajili ya uchimbaji wa uranium...
Habarini,
natafuta supplier wa mikaa aina mbili:
1.european beech charcoals
2.white oak Charcoals for BBQ
Kwa anayejua upatikanaji wake au yeye ni supplier/producer/manufacturer -- ntashukuru...
Naombeni mwenye kufahamu utaratibu wa kuanzisha shule Tanzania kwa foreigners unakuwaje. Nahitaji kufahamu mwekezaji anahitaji kuwa na vitu gani ie land, capital, etc na utaratibu wa jumla.
Wadau,
Leo nataka kuzungumzia kidogo suala la Programming katika radio mbalimbali.
Nimegundua mambo mawili muhimu katika radio zetu nyingi kwasasa.
1. Radio nyingi zinaiga radio zingine...
Mimi bado nashangazwa na sababu hasa ya kwanini Gharama za Internet za Tanzania ziko juu sana ukilinganisha na Kenya. Cable ambayo tunatumia ni hiyohiyo Kenya inatumia, wote tumepakana na bahari...
Allow me to share some intriguing issues pertaining the some mind boggling levies/taxes:-
1. The recent Fire levy of some 1,000/% on vehicles i.e saloons up to 40,000/= per year combined with...
Bank of Tanzania (BoT)
Speaking at an African Export-Import (Afreximbank) roadshow in a Dar es Salaam hotel on Monday evening, the deputy governor advised the country to increase exports...
Managing Partner of Mabibo Wines and Spirits Ltd James Rugemarila revealed the illegal beer importation at a press conference yesterday, noting that hundreds of tonnes were being smuggled into the...
Wadau wa Shinyanga,
Tumejaribu kufanya mini research juu ya soko la biashara ya radio Shinyanga. Mkoa huu bado unanafasi nzuri sana ya kutengeneza income kwa biashara hii ya radio. Shinyanga...
Centuries ago, the monsoon winds were credited for bringing trade ships from the Indian sub-continent and the Arab peninsula to the East African coast, carrying valuables like silk, pottery, metal...
Kampuni ya vodacome imetengeneza voucha ya tsh 450/=huku ikifahamu fika kuwa voucha hizi zinauzwa kwa shilling 500/=karibu sehemu kubwa ya Tanzania hususani Dar es salaa huko wauzaji wakidai...
Habari zenu wadau.Mwanzoni mwa mwaka huu nilianzisha uzi ulokuwa ukiongelea changamoto zinazotukabili wadau wa sekta ya kilimo (cha kisasa) na moja ya sababu nilizozieleza ilikuwa ni wataalamu wa...
10 African Millionaires To Watch by FORBES
These ten businessmen didn't make the cut for our inaugural list of the 40 Richest Africans, but some of them may be strong contenders for future...
Jana nimepata taarifa kwamba unaweza kujisajili atm card ya crdb katika simu yako. Nauna uwezo wa kutuma na kupokea pesa hata kuamishia tigo pesa,je hii ipo safe siwezi kubiwa na mtu kwa kutumia...