Habari zenu wanajamvini, mimi ni mtanzania wa kawaida, tumejenga nyumba yetu na familia yangu, ikafikikia hatua ya kuweka umeme, tukafanya process zote, za kufunga nyaya na kila kitu, ikaja ishu...
AIRTEL Tanzania yesterday launched 3.75G mobile platform, which promises to change how subscribers experience the web on internet-enabled cell phones.
"The 3.75G technology will give our...
Kwa kweli hawa BRELA wameniudhi sana kwa kutokuwa makini katika kusajili majina ya biashara. Mnamo tarehe 6 december mwaka jana nilienda katika ofisi zao ili kusajili jina langu la biashara na...
Habari za leo,wakuu!
Katika kupitia pitia magazeti leo,kuna gazeti moja limemnukuu N/W Ardhi na Maendeleo ya makazi kuwa majengo yote yaliyojengwa kando kando ya mito mjini Arusha yabomolewe...
Nimeona na kusikia matangazo ya kampuni hii kutupunguzia garama za unlimited internet kupitia ADSL au waya...that is a good attempt!!
wired internet service is the best ever...watu tunateseka na...
The businesses have been instructed by TRA to use the approved machines to issue all their receipts. It is fine and there are a number of benefits that goes with that. What i am not sure is...
Zanzibar has banned the importation of analogue electronic media equipment as part of the run-up to migration to digital technology by December this year.
Overseeing preparations towards the...
habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli (ghee)nje ya nchi,lakini sasa sina idea kabisa na vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu market nchi za nje za vitu havi.na nitapata wapi asali na...
$1= 80.30¥
Kama tunavyojua nchi ikiamua kushusha thamani ya pesa yake dhidi ya dolla, ni dhahiri bidhaa zake kuwa za bei nafuu. Hivyo, wafanyabiashara wa magari na electronics huu ndio wakati wa...
Kwanza sijui ni kwa nini wanadhamini JF mimi nawaomba muwatoi hapo juu maana hawaact kama great thinkers. wameintroduce internet speed ya 3.75G halafu wanakwambia piga *154*44# ili kujiunga...
Wadau naombeni mawasiliano email au simu ya kampuni zinazochimba visima kwa bei inayoweza kufikiwa na mtz wa kawaida bajeti 2.5m to 3m please nisaidieni ndugu zanguni nipo DSM
Nawasilisha
Nimiezi sita ss tangu nifungua duka mkoani,nimeajiri wafanyakazi wawili ila mmja hana majibu mazuri kwa wateja mpaka biashara kimapato imepungua sana.juu ya tabia yake wateja ndio wamenipigia simu...
wana jf naangalia uwezekano wa kuanzisha biashara ya soko la asali katika soko la afrika mashariki hususani kenya.asali hii inapatikana kwa wingi tabora,shinyanga na dodoma.pengine kuna mwenye...
Wakati nakuja hapa kuweka ombi langu la ushauri nimekutana na uzi unaoelezea owning a business or being self employed. Mimi ni mmoja ya watu nilioacha ajira na kuamua kujiajiri.
Kumekua na...
Wadau plz nataka kufahamu makampuni gani hapa dar es salaam yanawalipa vizuri watu wao wa mauzo: yani sales man;sales representatives. Plz just enxious
Wadau nawasalimu.Mimi na wenzangu tumeamua kuanzisha kikundi ambacho kitakuwa na malengo ya kujiendeleza na kubadilishana mawazo na utaalamu. Ni kama SACCOS lakini tunategemea kuwa na malengo...