Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Noti mpya zazua balaa Ubora wa noti mpya zilizoanza kutumika mwanzoni mwa mwaka huu unatia shaka, baada ya kubainika kuwa baadhi yake zinachuja na kuacha rangi zikilowa maji au jasho. Uchunguzi...
0 Reactions
238 Replies
22K Views
Naombeni kufahamishwa kwa ufasahaa kama kuna mwana jf anaefahamu kwa uzuri tofauti kati ya FOB price na CIF price kwa maana ninampango wa kuagiza kagari used japan sasa kila nikiulizia wengine...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Make---Toyota Model---Noah Year----2003 CC------2000 Colour---Black Condition ---Excellent Price ---16.5 Million (Maelewano yapo) kununua au Kuona call/piga ----0719539431(larson)
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, habari za siku nyingi? Naomba msaada wenu. Nina idea ya kuanzisha hiyo bussiness Nataka niwafuge mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku (wa nyama wa kienyeji na kisasa), kuku wa mayai, bata wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf,ninaomba kwa anayefahamu jinsi ya kuendesha biashara ya conference facilities, ninachotaka kujua pamoja na mambo mengine ni je ninawezaje kupata tenda zake bila kuwa na ukumbi,mimi nina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Get your own domain .CO.TZ for only 30,000 Tsh.. Includes 3 email accounts with every domain registration
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naombeni kujua bei ya gold na tanzanite kwa gram 1 ! Kwenye masoko ya wachimbaji wadogo na masoko ya wanunuzi wa jumla kwa tanzania na kenya !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani ninaomba msaada wenu wa kimawazo, nina shilingi milioni tano kwenye account, nisaidieni nifanye mradi gani ili kuizungusha hiyo milioni tano? nimejitahidi kufikiria lakini naona sipati...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Nimeharibikiwa na friji yangu mpya yanye warranty ya 24 months. Nimepeleka service center hatimaye nikaambiwa nitoe laki. Warranty bado haijaisha. Lipi lengo la hii kitu?
0 Reactions
0 Replies
785 Views
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has failed in its bid to block the hearing of an appeal filed by Russian firm, JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) that disputes a demand for $205 million (Sh330...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu.mimi nataka kuuza asali na samli (ghee)nje ya nchi(kuexport),lakini sasa sina idea kabisa na vitu hivi kabisa.naomba ushauri wenu kuhusu market za nchi za nje za vitu hiv ambako...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF naomba msaada wenu. Ninahitaji kununua mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata mashine hiyo, pamoja na bei yake. Ninaishi Morogoro. Natanguliza...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
wale wanamazingira wa Wakenya waliongoza kupinga tusijenge barabara ya serengeti na cha ajabu serikali yetu ikafyta mkia leo wamezindua mradi wa bandari mpya ya lami wenye madhara makubwa zaidi...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Baada ya wafanyakazi wa Tanesco kuanza kununua umeme kwa bei ya soko, wameanza mgomo usiokwisha. Wanachofanya ni kuzima umeme kwa kisingizio cha kufanya marekebisho, wanatuma mafundi maeneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallo wanajamii ninaomba mtu yeyote ambaye anaweza kunipatatia mtama mwekundu kwa kiasi cha kila derivery tani kumi anipe bei ya pale alipo kwa kilo moja. Asanteni sana kwa walio serious piga...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hello! as a new member of this community,i would like to say hello to you with great joy and happiness.Thanks and be blessed.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Nafikilia kufanya biashra ya dawa za binadam kutoka india hapa nchini , tatizo kubwa sifaham taratibu za vibari pamoja na kanuni za kuingiza mizigo kupitia bandari zetu hapa nchini , naombeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
RANCO. Mobile IT Support. Tunauza Laptop Used. Dell latitude D630.. Intel Core 2 Duo 2.33 GHz 14.1" WXGA SATA hard drive - 120/160gb RAM 2GB Dual Channel DDR2 Shared Memory with...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Wana JF,mh Adam Malima yuko live radio uhuru sasa hivi,hoja anayozungumzia ni madini na ametoa fulsa ya kumuuliza swali.No ya kupiga studio ni:0756 778 066.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom