WADAU NISHAURINI NATAKA KUFUNGUA HARDWARE NA SALOON YA KUNYOA ILA SIJUI UTARATIBU WA KUPATA VIBALI HALALI TAFADHALI WENYE UTAALAM WANISHAURI
heshima mbele
Wadau,
Naomba niulize kampuni serious inaweza kusponsor blog ambayo ukiingia unaona maneno ya huyu katembea na yule au za matusi ya nguoni?
Naomba kuelimishwa, blog kama hizo ni za Uturn...
yeyote anaeuza vifaa used yaani computa, photocopy, printers kwa bei ya jumla na rejareja.ntaka kujaribu hii biashara.........pia nataka kuwa mnnuzi wa jumla wa computer devices kama flash, mouse...
To anybody in karagwe kagera region, will be highly requested to contact me soon for TIN ore , we need good purity of tin ore in many quantities.Please call 0715381371
Tanzani nakumbuka tuliambiwa tukiwa linked na mkongo/optic fibre gharama za net zingeshuka kwa 50% naona mkongo tunao naona gharama ziko kama kawa though baadhi ya maeneo zimekuwa stagnant...
Wana JF.
Nina fanya kazi na ninahitaji mkopo wa bank,je naweza tumia contribution yangu iliyopo NSSF kama dhamani ya mkopo kwa bank zetu.
Kwa wenye ufahamu naoma mnijuze.
Karibuni
Nataka fungua deposit account, niwe naweka tu vijicent kidogo kidogo bila kutoa.
sio mamilion ndugu zangu.
ni bank ipi itanifaa?
vipi zinakua zinazaliana au still wananikata makato wao?
am...
Wadau kama mnavyojua kuchagua bank imekua muhimu hasa ukizingatia kigezo kimojawapo cha kutoa mikopo binafsi(private loans)....Naomba mnijuze bank inayotoa hiyo mikopo, masharti nafuu, yenye...
Massey - Ferguson 595 90HP 2WD
Liliingizwa nchini Dec 2009
Liko katika hali nzuri na limefanya kazi; Iringa; Dodoma na Ruvu!
Ni pm kwa anayehitaji
MODS : nimeshindwa kuattach picha
Naomba...
25 MARCH 2012
THE Management of Geita Gold Mine AngloGold Ashanti (GGM) has strongly refuted allegations of human rights abuse as published in one of the English daily papers late last week.
The...
Helo,
Ndugu wapendwa kama nilivyoeleza hapo juu, mimi ni mfanyabiashara wa vipodozi, vifaa vya kufanyia usafi majumbani, na Nguo za watoto from 0 - 12 years old. Kwa sasa nahitaji mshirika wa...
Ndugu wanaJF,kati ya sisi watanzania wengi tunashindwa kufanikiwa katika mambo flaniflani kwa sababu tu hatujui format ya kuandika jambo flani.jst take your time to copy and paste any important...
Salaam wanaUkumbi,
Naomba mwenye kujua mpaka sahii kati ya Rwanda na Tanzania anifafanulie. Ramani nyingi zinaonyesha tofauti. Na je, kumewahi kuwako ubishi wa mpaka kati ya Tanzania na Rwanda...
M/kiti wa CUF Prof ibrahim Lipumba amesema inawezekana kila Mtanzania kulipwa sh 450000 kwa mwaka kutokana na raslimali zilizopo nchini. Prof Lipumba aliyasema hayo Dar es salaam jana katika...
Niko hapa kwenye mashine zao za ATM toka saa 12 alfajiri. Mashine zimezima hakuna umeme wa Tanesco hapa mjini tangu jana usiku na wao hawajafika kuwasha jenereta lao la standby ambalo tunajua...
This I Believe
I believe in myself.
I believe that all people have the equal right to become all they are willing and able to become.
I believe that I am as good as anyone in the world...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.