WANABODI
niliahidi kuanza kuleta mada mbalimbali za kibiashara ili kuongeza ufahamu kwa wajasiliamali kwa leo naanza na hili.
INTERNET FRAUD:AVOID BECOMING A VICTIM
The advent of the...
Naombeni kujua kwa wale wanaoelewa haya mabo.
tulijikuta tukipiga story me na rafiki yangu mmoja na tuka peana changamoto ya nini cha kufanya kwa huu mji tuliopo ili tupige hela. jamaa akanipa...
Estimations by analogue method show that the geothermal potential of
Tanzania is about 650MW of which most of the prospects are located within
the East African Rift System. Most of the geothermal...
Habari
Si jambo rahisi kuanzisha kitu na kiweze kufanikiwa kwa urahisi urahisi tu bali unatumia nguvu za ziada kuanzisha na wakati mwingine usiweze kuona mafanikio ya papo kwa papo waweza...
HABARI WANAJAMII
Napenda kuuomba ushauri wa kina kwenu namna ya kuwapata wafadhili wakuniwezesha ktk uzinduzi wa kitabu changu kwani nataka kukizindua mwezi May na sina jinisi ya kufanya ila...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Diana Chilolo
Serikali inatarajia kufungua mgodi wa uranium wa Mkuju River (Mbamba Bay), katika wilaya ya Namtumbo, mkoani
Ruvuma kwa...
Mobile phone firms are losing $58bn (£36bn) a year worldwide to billing errors and fraud, a report says.
Juniper Research found operators were "leaking" revenue because the complexity of networks...
for those who are having an interview appointment can hv pre-interview for the intended job by prof HRs.al u hv to do contact 0714759361 for more information
Jengo liko katikati ya mji na limejengwa kisasa na ubora wa hali ya juu flour ya vigae, Suspended Ceiling Boards, kila mpangaji na meter yake ya umeme, Very Busy area 16 business hours, panafaa...
nina computa 2(laptop), headfone 1, modem 3 (air tel, tigo na voda), flash 1 ya 4gb, simu 2 za mchina, mkoba wa kubebea cd. wadau kwa kutumia assets nilizozitaja hapo naweza kufanya biashara...
NMB walikusanya pesa nyingi sana ya wananchi kwa maelezo kwamba wananchi wanunue hisa. Hata mimi nilinunua hisa za haja katika uwezo wangu, nikashawishi na wengine wakaingia pia. Niliwaambia...
Wana Jf, Heshima kwenu nyote.
Mimi ni muajiriwa kwenye kampuni ya private. Ninajituma sana kwenye kazi, na huwa niko proactive kwenye kupanga mambo yangu ya kikazi. Huwa sipendi mambo yatokee kwa...
Nyie Airtel mnaofanya ni uhuni wa kitoto. Ninyi ni wezi wakubwa kabisa. Mmeweka huduma kwa wateja kwa malipo, sawa. Hii tabia ya kukata pesa ya mtu halafu katikati ya maongezi na wakati bado...
Another Famously Successful People Who Failed at First
Not everyone whos on top today got there with success after success. More often than not, those who history best remembers were faced with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.