GreatThinkers,
Nia yangu ni nzuri na hii kampuni ila hii tabia yao si nzuri hata kidogo.
Nilitoa lalamiko kama hili waliturusha bila uwepo wa Life jackets
Sasa jana tena hali hii niliyoishudia...
Salaam wana JF!! Nina kama 15 million na nataka nijitose kwenye biashara ya mbao !! Kuna jamaa anajuana na dada yangu anafanya hivyo na rafiki yake wameingia kama ubia. From what I hear and saw...
Kati ya makampuni haya ni wepi wenye huduma rahisi ya mawasiliano ya internet na ya uhakika?
Nataka kuunganisha compyuta yangu na intanet, lakini matangazo yao ya biashara yananitia wazimu.
0digg
Rais Jakaya Kikwete, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba,baada ya kufungua warsha ya siku mbili ya kujadili Mikakati ya kiuchumi ya...
Tanzania employs the highest form of bureaucratic bottlenecks to the movement of goods and services in the East African Community, a new report shows.
Kenya, Uganda and Burundi follow in that...
WADAU NAOMBA USHAURI JUU YA MBEGU BORA YA MNYAMA PENDWA KITUMOTO NA RATION ZA CHAKULA NA BAJETI,NATAKA KUANZA NA NGURUWE WAWILI WA KIKE AMBAO WANAKARIBIA KUPANDISHWA
heshima kwenu
kutokana na makampuni ya kuagiza mafuta kusita na kuendelea kutunishiana misuli na serikali , nadhani itakuwa ni busara kwa serikali kuikopesha NICOL shilingi bil 23 ambayo ni sawa na hisa za...
I WISH GET HELP FROM EXPERTS OF THIS GAME,I'M TRYING TO LINK MY CRDB TEMBOCARD VISA BUT THE CARD NUMBER IS BEING REFUSED THOUGH I'M WRITTING THE CORRECT ONE AND IT IS DISPYING THE FOLLOWING...
Ndugu wanajamii,kwa kifupi nategemea kupata mkopo toka Bank moja hapa
Dar essalaam kwa kuweka nyumba yangu kama collateral(security).
Original business idea ilikuwa ni kufungua nursary ambayo...
Wadau,
Naombeni msaada, mimi nina business plan yangu bomba sana juu ya Social Enterprises Business. Nataka niwasaidie wanajamii na wanaDodoma kwa ujumla. Ukweli imepangiliwa vizuri na inakila...
Tanzania employs the highest form of bureaucratic bottlenecks to the movement of goods and services in the East African Community, a new report shows.
Kenya, Uganda and Burundi follow in that...
Fatilia mwenyewe ujionee
We are not claiming that we have found the recipe used today for Coca-Cola. We believe we found a recipe that is either the original recipe made by the inventor of...
Mimi ninafundisha Ujasiriamali. Nimekwisha fundisha wanafunzi zaidi ya elfu tatu ambao nimewaweka katika "data bank" ya chuo changu pamoja na aina za biashara wanazozifanya. Wengi wao ni wanachama...
Habari wanajamvi!
My concern leo ni vikwazo vilivotawala vijana wa sasa eti mpaka wawe na Masters Degree ndio watoke kimaisha, matokeo yake wanatumia muda mwingi vyuoni badala ya kupractice kile...
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi tafadhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.