Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wametangaza kutoa site tano kwa ajili ya kujenga lodge na tented camps. Tunaomba mchakato uwe fair na local investors to be given preferential consideration...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa alitimuliwa/aligombana na serikali nchini kwake kwa ufisadi na miradi yake mingi kakimbiza nje ya nchi ya Poland huku akiachia miradi kadhaa na mmoja wapo ukiwa ni kuuza magari ya bei...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1991-94 Model, 90hp. 2WD...zote ziko katika hali nzuri zote zinafanya kazi Bei 18ml............bila accessory yoyote.........Maongezi yapo na commission pia ipo Karibuni
3 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo 1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani. 2. Shughuli za consultance...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania has proven Natural Gas reserves of over 7 trillion cubic feet. Massive reserve by any standards, Unfortunately the petroleum 1980 act is extremely vague about exploitation of this all...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman kila mtu akiweka uzi wa kuomba kuanzisha biashara wanajamvi watamshauri location achukue maeneo ya Dar, sasa je sisi watu wa mikoani ndani yaani mawilayani tuanzishe biashara gani huko?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Niko Songea, nina 2.5m mkononi. Nifanye biashara gani ili nami baadaye niwe kama akina fulani? Wazo lako litanifanya nipate kisima cha pesa, nibaki nikichota tu. Tafadhali nishaurini wakuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaams Wanabodi! Wakuu napendekeza tuwe tunapata business and economic news kila siku hapa hapa kwenye business forum yetu kama kanewsletter fulani kwa topic mbali mbali za kibiz na economics...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI WAKUU, Nimepata sehemu ambayo naweza kupata maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji ila mkoani.wadau challenge niliyo nayo kwa sasa ni jinsi ya kusafirisha yafike kwa customer yakiwa fresh na...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
wakuu naomba mnijulishe ni vitu gani vinahitajika mfano labda nafanya booking ya flight from Dar to Paris via amsterdam,au nataka kufika paris lakini lazima nipitie amsterdam,wale wazoefu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimekuwa ninashuhudia matangazo juu ya kifaa hiki cha hewa cha Kip Tech. Sasa naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu bei yake na ubora wake watuhabarishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akizungumza wa Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alberic Kacou (kushoto) wakati alipomtembelea Mengi ofisini kwake jijini Dar es...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Patricia Kimelemeta na Ramadhan Semtawa KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua tuhuma za ufisadi wa Sh2.7 bilioni katika mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa Gongo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajf,nina duka langu la rejareja nataka kulikatia bima,hii kitu ipo bongo?na kampuni ipi nzuri?naomba uzoefu na hata utaalam ktk hili.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
I recently done little bit of research bongo naona hatuna Dating site ya ukweli ingawaje kuna domo zege wa kutosha na vijana ambao wapo busy sana na shughuli za mjini kuwafanya washindwe pata...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
A prominent member of the Tanzanian business community has made an impassioned appeal for more Tanzanians to engage in mineral prospecting, saying that would help them reap handsome benefits from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natumaini wote ni wazima mimi ni mjasiria mali wa matunda nina wazo la kuwa na kiwanda kidogo cha juice(Back yard Industriery)cha juice ya mapera water melon etc, sasa nauliza wapi naweza kupata...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Posts ya Kwako kinamea kitu gani, na ile ya uchimbaji wa visima............ni issues zitakazoendelea kujadiliwa hapa................nawaombeni mods!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu naona ni muda muafaka wa jamii forums kujitanua kibiashara zaidi baada ya kuwa na members zaidi ya 50,000 sasa nilikuwa nawaza kama wamiliki wakiamua kuuza share zao au kutafuta investors...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom