wakuu habari zenu nina wazo ambalo nimeona nije niongee na nyinyi
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuhusiana na swala zima la mziki pamoja na movies za kibongo kwa kusema kuwa wanaonewa...
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
Hello wana JF WENZANGU!
JAMANI MWENZENU NATAFUTA CHUMBA TANGA MJINI, NA ISIWE MAENEO YA CHUMBAGENI...KAMA KIKIWA SAFECONTAINED NTAFURAHI ZAIDI. NISHAPEWA NOTISI INAISHA MWISHONI MWA MWEZI HUU...
Tanzania can benefit from natural gas by empowering peopleSubmitted by Jacques Morisset on Fri, 2012-03-16 11:55
If you are looking for a house in Dar es Salaam, hurry up. With the recent...
Niaje? Kwasasa nafanya research kujua ni vitu gani vinasababisha watu binafsi kushindwa kufanikiwa kujenga biashara zenye mafanikio. Ni vitu gani au matatizo gani yanasababisha watu kushindwa...
Wanajamvi poleni kwa majukumu..
Mimi ni mtanzania ambaye nina nia ya dhati kuanzisha kampuni itakayokuwa inajihusisha na maswala ya kilimo.. Tafadhari naomba nisaidiwe taratibu na namna ya...
HAKUNA HAKI BILA WAJIBU
Napenda kuwakumbusha wana JF Hususani wadau wa BIZ kuwa nchi yetu ina fursa nyingi sana.
Ni wakati sasa wa kuzitumia.
Baada ya kuhudhuria semina nyingi, warsha...
Well: Well: Well:
Leo alfajiri (saa 11 CAT) nikiwa nasikiliza BBC (Swahili Service), nimemsikia afisa wa IBM (T) - David Sawe - akisema kuwa wapo kwenye mkakati wa kujadiliana/kuishauri serikali...
Jamani wadau naomba mnishauri kuhusu yafuatayo.Nahitaji kufanya biashara ya kusafirisha alizeti lakini sifahamu ABC yake,vile vile kuna watu wananishauri nifanye kusindika kabisa ili nipate faida...
Kwa wale wote wanaoagiza bidhaa kutoka nje kwa kutumia njia ya meli, sasa unaweza ku-share container kwa kutumia mtandao mpya nilioufungua February.
Kama kawaida, njia nzuri ya kujikwamua katika...
Nimeshtuka usingizini,baada ya simu yangu kutoa mlio kuashiria kwamba nimetumiwa message(sms).
Kufungua sms,imetoka vodacom kwenye number 15500 inasema ''Fabrice Muamba wa Bolton Wanderer,bado...
nafanya biashara ya simu original kwa wewe unaehitaji kwa bei rahisi sana na mpya kabisa, kuna htc desire 700,000 na nokia e72 kwa 250,000. Unaefahamu simu utajua bei zake dukani
contact me if...
wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
Jamani mimi nilikuwa mmoja wa watu walionunua hisa za Precision Air, nashangaa hadi leo ni kimya sijawahi kupigiwa simu wala kutangaziwa chochote thr media
Precision Air vipi au ni DECI no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.