wanajamii nimenunua machine za restaurant kwa $ 10 000 na custom nimelipai kama 3m
nia yangu ni kukodisha kwa malipo ya kila mwezi ,
dhamana ya machine inaitajika kama ni nyumba au pesa
je...
Nauza gari aina ya Honda kwa gharama ya Tshs. 8,500,000/=Mwaka:2000Km:10170Rangi:NyekuduCC: 1500Kwa mnunuzi makini tuwasiliane kwa namba 0716-245491/0787-651625.
Wana Jamvi;
Kwa masikitiko makubwa leo nimeongea na customer service wa Tanesco akanihakikishia kuwa hawajui lini mita za LUKU zitapatikana. Nililipia gharama za kuunganishiwa umeme tangia...
Worlds Biggest Stock Exchanges
1. New York Stock Exchange: $9.57 trillion in market value
The New York Stock Exchange (NYSE) is located on famous Wall Street in lower Manhattan, New York...
Jaman naomba mnisaidie hivi biashara ya baa inafanyikajee.g mtaji wake,kuliteka soko,faida inapatikana vipi,na chochote nnachoweza kufanya niweze kuliteka soko.Nimesikia hii biashara inalipa sana.
Ndugu zangu wana JF, leo nina dukuduku kubwa kuhusiana na huduma zinazotolewa na benki yetu ya makabwela NMB hapa tanzania, hasa katika kipindi hiki cha karne ya 21, dukuduku langu ni kama...
I would like to take this opportunity to introduce Techbiz Ltd, We are dynamic information and communication technology company (ICT) with a vision to provide total ICT Enterprise Solutions to...
The government has instructed all Coast Region and district workers living in Dar es Salaam to immediately move back in order to reduce operational costs and report early at work places.
The order...
WAKUU HABARI ZENU
WAKUU THIBITISHA U AFRIKA WAKO KWA KU LIKE PAGE MPYA IITWAYO AFRICA
HII PAGE MPYA YA FACEBOOK ITAKUWA INAHUSU UTALII MBALI MBALI UPATIKANAO AFRICA PAMOJA NA UTAMADUNI UNAOMHUSU...
BabuLoliondo set for second show
My medicine heals but does not prevent deathStaff Writer
BabuLoliondo who blazed Tanzania and neighbouring countries claiming that he had a concoction that...
Baada ya wadau kuzipigia kelele bei mpya za internet toka Airtel (Ref: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/229191-airtel-tanzania-yapandisha-gharama-za-internet.html ) Airtel...
natumai muko na afya njema mukiwa mnaendelea kulihudumia taifa, lengo langu ni kukuulizeni kua nataka kuanza mifugo ya kuku wa kienyeji ila nashindwa kujua nianze vipi ili iwe nimetumia njia za...
Jamani naomba tuongelee hili la shule ya mama RWEKATARE kule Mbagala,mbona hakuna mikutano ya wazazi?,mwanae Rose ameanzisha duka pale na kuuza chocklate watoto wana shuka sana kielimu maana...
Habari wana Jamvi;
Naomba niwasilishe hii mada ya ukosefu wa mita za LUKU. Toka mwaka jana (October 2010) wateja wapya wa TANESCO wamekuwa wakizungushwa bila kuelewa wapi waelekee kwani kumekuwa...
Washington, February 22, 2011 The World Banks Board of Executive Directors today discussed Tanzanias National Strategy for Growth and Reduction of Poverty known by its Kiswahili acronym...
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote.
Wanajamii; Wana JF
Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
Jamani naombeni msaada kwenye hili langu jambo. Mimi ni miongoni mwa watanzania ambao tuna fikra za kuanzisha miradi mbalimbali lakini tatizo linakuwa ni fedha. Baadaye unapata wazo la kuandika...