Inatia aibu kuona kipande kidogo sana kinachukua zaidi ya miaka mitano kujengwa na bila kumalizika. Unajua mi nashindwa kuelewa hao wakandalasi wanafanya kazi gani. WAZIRI Magufuli na Mbuge wa...
BAADA ya kulala usingizi wa pono kwa muda mrefu na kushindwa kudhibiti biashara sugu ya magendo katika mipaka yake ya Namanga, mkoani Arusha na Holili mkoani Kilimanjaro, Serikali sasa...
A dealer in minerals, Enock Kantelu (30), from Migongo Masasi in Mtwara region yesterday appeared in the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam charged with money laundering...
The prosecution has appealed to the High Court against a ruling by the Kisutu Resident Magistrate's Court to acquit Richmond Development Company agent Naem Gire in a forgery and uttering of...
Wana JF,
Natafuta vifaranga wa samaki sato. Nataka kuanza ufugaji wa samaki aina ya sato.
Naomba anayejua wapi nitapata aniarifu, pia anipe contacts za huku kunapopatikana vifaranga hao wa sato...
Nina cheque ya milioni kadhaa imeandikwa jina la bishara ambayo nilinunua kutoka kwa jamaa yangu. Utafiti wangu umegundua hakuna usajili juu ya hiyo kampuni wala account number yake,sasa wadau...
wadau nina nyumba yangu nauza maeneo ya chanika dar es salaam,nimeezeka kwa bati za msouth ina vyumba vinne sebule mbili car parking na nimeshajengea matank ya choo.inahitaji finishing tu.umeme na...
Wadau wana jf, natumai wote ni wazima! Tafadhari ningependa kufahamu hapa dar kama kuna watu ambao ni independent bebt collector wa makampuni flani ambayo yana madeni mengi kwa wateja wao, na hao...
Vodacom, has come up with "M-Pesa", Zantel has come up with "Z-pesa", others have been more bold and attempted to create an operator independent platform such as "Mobi-Pawa", now jus a few days...
Wednesday, 29 February 2012 10:34
digg
Oil exploration has been intensified in Tanzania,with encouraging results
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam...
Watu wengi wakitaka kuanza kufanya biashara huwa wanaanza kufikiria kuwa na mtaji wa mamilioni shilingi. Katika fikra hizi wengi wa wajasiriamali wamekuwa wakijikuta wakizeeka na ndoto zao bila ya...
Kuna matapeli wanapita mitaani na gari na kujifanya wao wametumwa na TRA kuangalia biashara ndogondogo kama saluni, stationery, magenge na maduka kama zimesajiliwa. Hawana vitambulisho na gari...
Nimekerwa na Tanesco mkoa wa Kinondoni Kaskazini pale Mikocheni, niliomba kuunganishiwa umeme kwenye kahekalu kangu pale Wazo,nimelipia kila kitu nikaahidiwa kuwa nitapigiwa simu kunitaarifu kuwa...
Habari,
Jamani naomba kuuliza hivi kujua kulima kwa kutumia trekta kunahitaji utaalam mkubwa? Nahitaji kwenda kozi? Au mimi naweza kujifunza kwa kuangalia na kufuatilia kama kuendesha gari...
Photo/File An aerial view of wind generating turbines in Japan. Gitson Energy Ltd plans to harness wind for electricity generation and be operational by 2013 in Kenya.
By KENNEDY SENELWA...
1. Share your success and help others succeed. Give everyone a chance to have a piece of the pie. If the pie's not big enough, make a bigger pie. Dave Thomas
2...
Following below is an article I bumped on at Statoil, Exxon Find Natural Gas off Energy-Starved Tanzania. The author, who is not a Tanzanian, is warning Tanzania about the paltry amount it is...
Habari wana JF, Ndugu zangu kuna benki moja nchini hapa kwa muda mrefu imekuwa ikionekana kwa viashiria kwamba ni benki ya kikanda. Hebu fikiria kwa muda mrefu mkutano mkuu wa wana hisa Annual...
Wandugu,miaka ya tisini na mwishoni miaka ya 80 kuliibuka hii biashara,lakini siku hizi sijaisikia tena. Juzi nikiwa maporini kwa mihangaiko nilikutana na mzee mmoja akaniomba nimtafutie mteja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.