Kama kuna mtua ana-supply samaki wa ziwani - Mwanza au unamfahamu mmoja, tafadhali naomba tuwasiliane au nitumie contact zake. Natanguliza shukrani.
Ahsante
A delegation of British investors has briefed President Jakaya Kikwete on a plan to put USD 10 to 20 billion in the economy to develop infrastructure to exploit the countrys huge gas reserves...
Heshima zenu wakuu?
nilipata dili katika kampuni hii Perdue Farms, hawa jamaa walikuja hapa Tanzania kutaka ku invest lakini mpaka leo ni zengwe kutoka wizara ya Mifugo..
nimeamua kuja na wazo...
Tanzania ya leo imejawa na vijana wengi ambao wamekuwa wakiiga mfumo wa maisha ambao hawajui adhari zake. Kwa mfano mijini utakuta vijana wengi wanataka kufanya kazi ambazo ni laini laini tu...
Hatimaye wafugaji waliogeuka masikini wa kutupwa baada ya ukame wa kati ya mwaka 2008-2010 kuua mifugo yao yote, sasa neema imeanza kuwashukia kutokana na Serikali kutambua janga lililowapata na...
Wadau wa Forum hii... hivi mnaonaje suala la ununuzi wa magari kwa Installment kama nchi za wenzetu kama Uingereza.
Hii itarahisisha kupunguzo tatizo la usafiri... Maana unakuta Kampuni au mtu...
Wakuu nawasalimu wote,
Naomba mwenye kuelewa namna ya kutengeneza mishumaa anidokeze.
Nafuatilia hili kwa ajili ya kikundi chetu pale kanisani.
Heshima mbele wakuu.
British oil firm Tullow Oil yesterday signed a long-awaited multi-billion shilling deal bringing French and Chinese industry players into the Ugandan oil sector.
Tullow Oils $2.9b (Shs 6.4...
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice...
Pamoja na mbwembwe Kibuli, Jeuri,Kejeli za JOAN PONG MALOCK Kuhusu sakata la ongezeko la Nauli, Mapato yamepungua kwa siku pamoja na kwamba hata zile takwimu za awali aliongopewa na watendaji wa...
Katika ripoti ya Doing Business inayotolewa kila mwaka na World Bank. (http://www.doingbusiness.org)
Tanzania imeanguka kutoka namba 125 hadi 127 kati ya nchi 183 zilizopimwa.
Kenya imeanguka...
Duh, jamani precision Air wamezidi, lazima kila wiki wa-cancel au kusogeza mbele time za kuondoka hasa route ya Dar-Mwanza. Hebu jiulize mtu unatakiwa kuondoka leo Jumatatu saa 8.40 alasiri...
The project will help ease congestion at the Dar es Salaam port. Picture: File By LEONARD MAGOMBA
Posted Saturday, February 18 2012 at 16:12
Tanzania, Uganda, Burundi and Rwanda have...
Three conditions must be present for oil reservoirs to form:
I. a source rock rich in hydrocarbon material buried deep enough for subterranean heat to cook it into oil...
Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.
Wakuu habari za miangaiko mimi ni kijana mwenye shahada ya mazingira ( Bachelor of Science in Environmental Management) baada ya kusaga sana viatu kutafuta ajira nikajikuta nakuwa na wazo la...
Watu wanapenda idea ya kupata discount hata kama hiyo discount sio ya ukweli.
Kwa mfano ukiuza kiatu cha 100,000/= chenye discount ya 30% utauza vingi kuliko ukiviuza kwa 70,000/= bila discount...
Mwandishi Wetu, Namtumbo
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, amesema mradi wa uranium katika Mto Mkuju, wilayani Namtumbo, Ruvuma utakuwa wa manufaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.