Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau, kwa wale wataalamu wa mambo ya IT, plz naomba mnipe ushauri wa mambo ya kuzingatia kabla ya kununua kompyuta ndogo. nahtaji kununua laptop kwa ajili ya kwenda nayo huko kijijini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naona sasa kuna uwezekana mkubwa rushwa kuongezeka kupitia huduma hizi.. Tena jinsi nchi ilivyo sioni umuhimu wa taasisi ya pccb.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
haya ndugu zangu,ni shamba langu mwenyewe,kila kitu kipo,linapatikana maeneo ya vigwaza ruvu,zipo ekari kumi kama unahitaji uni PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimenunua juice ya machungwa ya Azam leo jioni maeneo ya Tegeta, nimefika nyumbani ilipofunguliwa ndani nimekuta juice ya ajabu. Inaelekea huyu jamaa wa Tegeta anakusanya maboxi yaliyotumika ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuanzia kesho tar 1.2.2012,gazeti la mwananchi litauzwa tshs 800,hii inatokana kupanda gharama za karatasi na umeme. source.mwananchi ya leo.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu wana Jf, naomba niwasilishe hoja hii kwenu, nilfanikiwa kufika katika mradi huo nilichokiona, hata mhesabu trip za mchanga katoka china, wasimamizi wa vibarua ni wachina halafu waliowengi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Waajiliwa mnaionaje changamoto hii? kwa nini hatuwezi kusema ukweli kwa mabosi wetu, hatuna ujasiri wa kuwakosoa badala yake tunawaangalia tu wakipeleka mambo kombo? hatuwezi kusema hapana hata...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wana jamii nawasalimu sana, Kuku wa nyama wanapatika kwa simu hii hapa 0755 557094 Ni majogoo ya nyama, yametunzwa vizuri, wana uzito wa kuanzia kilo tatu na kuendelea, tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello JF,Kulingana na hali ya uchumi na maisha kua magumu sana hapa nchini kwetu...nilikuwa nafkiria kitu kama kufanya biashara ya ku export tobacco (cigarettes) from Tanzania to Europe (UK, Spain...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
barabara ya gari inafika hadi shamba. Umeme haujafika, halijapimwa ila lina vielelezo vya umiliki halali kutoka serikali ya mitaa na serikali ya kijiji . Cal me 0712769766
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hallow great thinkers. natamani kuanza biashara ya kilimo cha matunda na ufugaji wa kuku chotara. naomba yeyote mwenye relevant information juu ya hili aniitaarifu kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza nikiri kwamba, huu uzi sijui kama hapa ninapouweka ni pahali sahihi. Lakini kwa kuwa una elements za kiuchumi, nilidhani ni vema kuweka hapa. Kwa wiki kadhaa kumekuwepo mjadala kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je una mizigo ya kwenda Tunduma, Kyela, Iringa au sumbawanga? Nina lori tani kumi na tano box bodi kwaajili ya kusafirisha mizigo mbalimbali kwenda maeneo hayo hapo juu. Kwa atakayehitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
source: Related Data From the International Monetary Fund Year Inflation, average consumer prices 1980 30.205 1981 30.3 1982 25.7 1983 28.9 1984 27.1 1985 36.1 1986 33.3 1987...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hbr wana jf nina mtaji wakutosha nataka ninunue costa mpya(i mean used from our local yard) ili nianze biashara ya usafiri jijin dar.. Naomba ushaur na mawazo yenu ktk hili. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Our shiling has for a long time been slumping against almost all major currencies, although it has recently registered some gains. I have been asking myself for a long time, what stands behind all...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimegundua kwamba utaratibu uliopo ofisi namba 309 brela si sawa na nikikwazo kikubwa kwa kuregister trade marks.Leo nimeenda pale na nimekutana na dada mumoja mweusi anamajibu mabovu kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
RE: PLOT FOR SALE. Place. Situated at Urusino Estate Block 42 Plot 69 Morocco Prime area Kindondoni SIZE. 2000 Squire meter. Serious interested buyer may Phone call Mob: +255 714...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi? Mimi nina nyumba yangu kigamboni nataka kuikarabati kwa kutoa maduka (shops) mbili, ili nipangishe na kuongeza vyumba. Sasa kama mtu atakuwa interested anaweza tukawasiliana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ethanol can bring $30 million annually Published on: Fri, 02/05/2010 - 7:42pm Timothy Kahoho LARGE scale sugarcane plantations in this country are expected to be the catalyst of...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…