Kunani kwenye huduma zao? Mbona mtandao unachukua muda mrefu sana? Leo imenilazimu kusubiri takribani nusu saa ili nipate pesa baada ya kutuma request ya kutoa pesa kupitia wakala. Hii haijakaa...
By ADAM IHUCHA :A S embarassed:
Posted Sunday, February 5 2012 at 13:52
Tanzania's National Social Security Fund is keen to make further inroads into East Africa's real estate sector with its...
THE Export Processing Zone Authority
(EPZA) has developed plans designed to
transform sleepy Bagamoyo from being the oldest town in Tanzania into a modern, vibrant metropolis and business hub...
Jamani hii speed ya upandishaji wa bei ya maji ya uhai inatisha. Hivi mbona wanatuchukulia poa sana hawa watu sisi watz!!!! Mwaka jana mwishoni uhai lt 6 ilikuwa 1400, then mwezi baadaye ikapanda...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina mpango wa kuanza kilimo cha vitunguu msimu huu wa kilimo. Naomba yeyote anayefahamu mahali napoweza kupata mbegu bora anifahamishe. Ukinijulisha na bei...
Wana jf,
Kwa hakika hii kitu imenivutia sana kwa maana nimekuwa nikiamini hivi bali kwa maelezo ya huyu bwana ni confirmation that I was not wrong.
Hawa watu wa ‘Magharibi' wametuzidi...
Midraji Ibrahim, Dodoma na Boniface Meena
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema kuna utata wa Sh2.7 trilioni katika sekta ya madini kutokana na ukaguzi uliofanywa kwenye sekta hiyo mwaka...
Hello wana jf! nataka kununua blender ya juice kwa ajili ya biashara, naomba ushauri make gani ndio nzuri, itakayo dumu na kuchapa kazi vizuri?
Asanteni
I was doing a research regarding computers and i got to find out about www.stonehouse.co.ke A company that sells computers which are extremely energy efficient,are powered by solar and have no...
Midraji Ibrahim, Dodoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amemwandikia tena Spika wa Bunge, Anna Makinda, akimuomba kuunda kamati teule ya Bunge kuchunguza ununuzi wa mafuta ya...
Gasper Andrew, Singida
HOSPITALI Teule ya Wilaya ya Singida ya Makiungu, imetumia zaidi ya Sh1.2 bilioni kugharimia ujenzi wa hosteli ya kisasa na upanuzi wa wodi ya wazazi. Hayo yalielezwa juzi...
wakuu habari zenu naomba msaada hapa kwenye hili..
Je mtu akitaka kuanzisha branch ya kampuni yake ya kitanzania ya utalii kwa nchi kama
egypt, morocco & tunisia inawezekana?
Je serikai zao...
habari wanaJF,kuna magari kadhaa yanauzwa katika mkoa wa arusha,tafadhali tembelea blog ya arusharides.blogspot.com
blogu hii itakuwa updated kila baaada ya wiki moja...karibuni sana
wana jf kuna kiwanja ukubwa 21,000 mita za mraba,kipo bunju kimepimwa ila hakijapatiwa hati na pia luna nyumba 2 zipo tip top manzese zipo maeneo mazuri ya kibiashara.piga 0753 953260 kama utahitaji
wadau ninapangisha nyumba zangu kwa watu wanao hitaji zipo majohe kichangani (ilala) zina bed room 2, sitting room 1, kitchen, bafu na choo, kila 1 ina luku yake na maji yapo nimechimba kisima...
Kuna rafiki yangu huku Arusha anahitaji mbao za kujengea shule so mwenye namba za watu wanao uza mbao huko Iringa anisaidie pls
1. 3 by 2 mbao 400
2. 4 by 2 mbao 250
3. 6 by 2 mbao 100...
Nimesikia habari za majambazi kuu mtu na kupora duka la madawa la Fedex. Kwa anayejua details la eneo hilo la duka yalikofanyika mauaji anijuze tafadhali, nna ndugu yangy afanyia kazi hayo maduka...
Hivi jamani hapa Tanzania kuna chama cha kutetea masilahi ya wahasibu ? Kama kipo mbona hatukisikii ?
Kwa tafiti nilizozifanya inaonesha watu wanaofanya kazi za uhasibu kwa hapa Tanzania wanalipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.