Hili tawi la NBC-Kichwele lipo mtaa wa Jamhuri opp. Sleep Inn hotel huduma zao mbovu kabisa.
Nimesimama pale Customer Services zaidi ya dk.50 kupewa jibu la account yangu natakiwa kuleta barua ya...
Nauza bold 9700 ambayo nimenunua England kwenye company inaitwa 3, hii sio bold feck zinazouzwa tanzania.. RIM huwa wanaleta bidha za quality ya tatu africa and bidha ya quality ya 2 asia and...
Nilikuwa na washikaji wakati tunajadili issue za pilitik, ikaja suala la miropoko inayotolewa na Mtangazaji mmoja wa clouds fm ambaye wengi tunamjua. Wakati mjadala unaendelea jamaa mmoja...
Wadau mimi nina biashara yangu grossery ndogo tu ya kawaida, nahitaji mkopo wa m1 nataka kuiboresha zaidi kwa kuongeza viti, meza pamoja na friza moja kubwa. Nisaidieni ni benki gani ninayoweza...
Liko Kibamba CCM, ukitoka mjini upande wa kushoto. Robo kilometer kutoka barabarani. Tunakata kuaanzia nusu eka Tsh 10m, robo eka 5m. Jumla ni eka 3. Barabara zenye ukubwa wa kutosha zimeachwa...
As per this article:
Tanzania's inflation rate rose in April for the first time since October last year as food and fuel price inflation picked up in east Africa's second largest economy...
Hivi kwa nini Tanesco mnalinga sana jamani?
Leo ni siku ya Nne (4) hatuna umeme hapa Kunduchi Mecko, kila mkipigiwa simu mnasema mafundi wako hapo wanashughulikia
hivi hawa mafundi siku nne zote...
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa ze laga, jana nikaingia bar tofauti kama tatu hivi ambazo nimezoea kunywa bia kwa bei ya 1500/: lkn nikaambiwa zimepanda na sasa ni tsh 1700/: je ni kweli au...
In todays world a manager is faced with numerous responsibilities that require undivided attention. There is so much to give and there is less improvement on the self. Rarely do managers take...
We Install the following high quality products at a very reasonable price:
- Electrical Fences
- Security Cameras (CCTV)
- Coloured Video Phones
- Motor Gates
- Electrical Wiring
- Air Condition's...
I have a passion for the bald eagle or Haliaeetus Leucocephalus
according to his scientific name. I have this passion as long as
I can remember. But it is not a logical passion. I am Dutch and...
Wana JF nimebahtika kupita Steers hapa mjini.zamani ilikuwa sehemu safi ya kutoka na mtu wako wa karibu ile leo imezungukwa na wauza mitumba ya batiki na vinyago kila meza. Pana boa kwa kweli.
Nauza bold 9700 ambayo nimenunua England kwenye company inaitwa 3, hii sio bold feck zinazouzwa tanzania.. RIM huwa wanaleta bidha za quality ya tatu africa and bidha ya quality ya 2 asia and...
Wakuu leo hii kwa msaada wa website ya NBC exchange rate kwa 1$, buying ni 1531.40 na selling ni 1616.40,
swali langu naomba wachumi mnisaidie je hapa exchange rate ya leo ni shilling ngapi? Je...
Mambo zenu wana Jf.. Nimeagiza Coster ili nianzishe bishara ya daladala, lakini kuna rafiki yangu mmoja kaikandia sana hiyo biashara na ananiambia haina faida kama watu wanavyofikiria.. Baadhi ya...
Habar zenu wana jf nakuombeni msaada kuhusu hiz frem za aluminium na vifaa vya kufunga ili ikamilike na kuwa dirisha. ukubwa wa dirisha ni 4kwa4 sasa mafundi wananiletea mlolongo wa vi2 kibao...
hi, i need help as i want to open a website, my problem is that i don't know if there is a TAX to pay when u open a website, if there is under what category is websites fall into. also i will be...
Kuhusu kuweka pesa kwa fixed deposit hapa Tanzania. Naomba kujuzwa ni benki ipi nchini inatoa interest rate nzuri kwa mwezi. Pia nitaomba kufahamishwa taratibu na masharti muhimu ya kuzingatia...
Hi Mentors still in Istanbul and will get you guys full report in terms of Economic position, Social, Political and of coz the opportunities.
I know you mentors know how potential Turkey is but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.