Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla na mirunda.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni na mirunda.
Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa...
DISCOVER THE POWER OF WE "Nguvu ya pamoja". Wanajamii hii imekaa vipi? Ita work or not? na kama project ita operate kama wanavyoeleza si itakuwa wonderfull. au kuna wizi jameni hapa? Kwani...
Nyinyi kama kampuni ya vijana tena wazalendo inakuwaje mnamuingiza mtu kama Iddi Simba kwenye kampuni yenu changa?
About Us | Serengeti Advisers
Kwani kuna kitu gani cha ajabu anachokifanya...
Naiuza NOAH kwa bei ya Tzs 9.5 million tu. iko ktk hali nzuri sana. Ni mali yangu na ninaitumia mimi mwenyewe kwa kuenda ofisini na kurudi home hapa Dar. haifanyi (haijawahi kufanya) biashara ya...
Wana JF Heshima Mbele.Mimi mdau mwenzenu nafikiria sana kujikita kwenye biashara ya kusafirisha abiria kutumia ma bus makubwa NIssan Diesel au hata Scania.sababu mjasiliamali mdogo sana naomba...
Nina biashara ya nguo za kike, magauni,skirts, tops, trousers, leggings, jewelerly, shoes, perfumes etc na accessories za wanaume kama vests, boxers, socks etc from UK at affordable prices. if you...
Naomba mtu mwenye kufahamu anijulishe mahali ambapo naweza kupata mkopo wa biashara ambao una interest rate ambayo iko reasonable na masharti ambayo si ya kukatisha tamaa!
Note: Naomba taarifa za...
Wadau, Hii biashara ya kuuza bidhaa online kama wanavyofanya WWW.AMAZON.COM na kina WWW.EBAY.COM unadhani ni kipi kifanyike ili Tanzania na sisi tu adopt? Naombeni mchango wenu on what you think...
DISCOVER THE POWER OF WE "Nguvu ya pamoja". Wanajamii hii imekaa vipi? Ita work or not? na kama project ita operate kama wanavyoeleza si itakuwa wonderfull. au kuna wizi jameni hapa? Kwani...
Yaliyokuwa makao makuu ya DECI nyumba ya gorofa moja inapangishwa,eneo la Mabibo Mwisho,NIT Road.mawasiliano zaidi tumia namba za simu,0715 951114, 0715 314319 ,0759 324062, 0767301794
Hawa ndio wanaongoza kwa Utajiri barani Afrika.Nashangaa wa hapa kwetu hakuna hata m1.Nilidhani 2po nyuma ktk michezo 2 kumbe hata utajiri na umiliki wa mali pia.....!!?Pitia hapa kwa undani...
Niukweli usipingika kwamba Biashara haiwezi kufa kama ajari vile yaani leo ilkuwa katikakiwango cha juu halafu kesho imekufa.
- Biashara mpaka kufikia kufa nikwamba kuna muendelezo wa dalili...
Hi wana JF! Kama ilivyo desturi yetu watanzania huwa hatuachi kupongezana hasa pale panapoonekana kuna jambo zuri limefanyika. Wengi mtakubaliana na mimi kuwa babu ni mjasiliamali alieibadilisha...
10.04am: Our economics editor Larry Elliott has been watching Gordon Brown's Africa session. He sends us these thoughts: Gordon Brown is chairing a Davos session on Africa. Sub-Saharan Africa has...
2003 Nissan Wingroad Station Wagon 1.5L (1497cc) Rangi: Silver. Transmission: AutomaticGari ni nzima kama mpya na kila kifaa chake kinafanya kazi inavyopaswa. Ipo Zanzibar kwa sasa na bei ni nzuri...
Hi folks..
For the past 6 to 7 months , I have been witnessing different kinds of products branded AZAM in our local markets ( shops / street vendors etc)
Kwakweli it's very promising kuona...
Salaam wakuu,
Napenda nilete wazo langu la kutafuta mtu mmoja ambaye tutasaidiana kufanya
mradi mdogo wa kufyatua matofali. Vitendea kazi vipo vya kutosha kuanzia,
atakayekuwa serious atafanya...
A tourist from Canada has urged the Tanzanians to try and climb Mount Kilimanjaro so that they can clearly see, enjoy and value the magnificence this mountain with Africas highest peakgranted to...