Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna mifano mingi ya watu waliopata mafao mazuri kama sehemu ya malipo ya kustaafu baada ya utumishi wa umma au sekta nyingine hapa Tanzania. Lakini mwisho wa siku, hawa watu hupoteza pesa hizo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nadhani wakati umefika wa kuanzisha noti kubwa zaidi ya sh 10,000 (~$6/~€4). Noti ya 10,000 ni ndogo sana ... yaani imekuwa hadi mtu unajukuta unaenda ATM kila siku! Haya, na huko kwenye ATM zetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mwenye link ya mashine hizi za kupondea kokoto za ukubwa mbalimbali naomba anisadie preference ni mobile stone crusher ya uwezo wa tani 5 mpaka 10.............mengine zaidi mtanisaidia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wasalaam wanajamvi, tafakarini juu ya hiki kipande cha habari ili tujue kuwa ni muenelezo wa sera zetu za 'kinafiki' au kuna ukweli. People entering or leaving the country must inform officials...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
50yrs back, the country was not developed like now days. During Mwalim era & retired Hon Mwinyi, the country was not much good if compared to Sir W. Mkapa. During Mkap era the country was very...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Kwa sasa jiji la Mwanza ni zuri kwa mwonekano wa nje na ndani kuliko Dar es salaam.. Ni mahala pazuri sana kwa kuishi na kufanya biashara ni kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa murua na miundo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This brand is valued at about 66 billion dollars and is undoubtedly the most powerful brand in the world. This search engine was started by Sergey Brin and Larry Page in 1996. Google is known for...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu, nataka kufungua account kwa ajili ya shirika lisilo na faida. Ni njia gani nitatumia ili nisilipe kodi. Kwani account si ya kibiashara ni kwa ajili ya msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wana jf jamani kuna mdau anatoa huduma kuwezesha kufungua kampuni ya sole proprietorship,partners,limited company,ikiwa ni pamoja na kufatilia ishu zote za kusajili jina pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kahawa Sakata la ununuzi wa kahawa mbichi wilayani Ileje limepata ufumbuzi, baada ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, kuruhusu serikali ya mkoa na wilaya kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Print | Close this window Mali Seeks bigger share in mines, lower taxes Mon Jan 23, 2012 3:42pm GMT By Tiemoko Diallo BAMAKO (Reuters) - Mali is seeking to raise the state share in mining...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Blood Diamond, The true Story Blood Diamonds, The True Story Documentary of Sierra Leone, Angola, and The Republic of the Congo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuwepo kwa hii forum kumetuwezesha wengi wetu kujifunza mengi na kuongea na real millionaires and real entrepreneurs who have been there and done that. Katika spirit hiyo hiyo ningependelea kuona...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Rafiki yangu mmoja huko Arusha ametimua karibu wafanyakazi wake wote akidai kuwa "wanamtia hasara". Nilipomuuliza kwa undani nni kinetokea sikuhitaji mifano mingi. Kilichomuudhi zaidi ni kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nataka kununua simu ya idios VP ikopoa? Namatumizi take Yako vizuri.Msaada mwenye kujua.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Curse of the consumer society by Abdul Raheem Green - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
people wht a various source of fund available to small and micro-businesses operating in Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu, naomba mwenye uelewa hili hili swala anijuze. Nafahamu mashirika ya umma na taasisi mbali mbali za umma huwa na kitu kinaitwa Bodi ya wakurugenzi, ambao huteuliwa na Waziri husika na...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Do you realize how many mistakes you have made chasing the Tanzanian dream (Maisha Bora) that the society /government drums into your head through 7 years of primary education, 4 years of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Truth for many, but not for some of us. Change the rules (35-year plan) if you don't want this to be true See the attachment
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom