January Usikate Tamaa. Wewe ni mpiganaji . Wewe ndo dawa ya mafisadi Wizara hiyo imeoza kwa ufisadi! Pigana hadi kieleweke
Patricia Kimelemeta
KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini, imeitaka...
Constructing a New Oil Pipeline is impossible without Approval of SSLA and SSDA
For Immediate Release
SSLM/A Headquarters, Mayom, South Sudan
January, 25, 2012
The South...
Habari GT,
Nina uhitaji wa kiasi cha Tsh laki tano...naomba kwa yoyote muaminifu, mwenye uelewa na mwenye uwezo wa kunikopesha ama kuniazima anisaidie nitamrejeshea baada ya mwezi mmoja...
jamani nimekopa kiasi cha pesa nimeona nifanye biashara ya usafirishaji mdodo mdogo wa mizigo hapa Iringa kwa kutumia pikipiki ya miguu mitatu .... sasa nitapata wapi pikipik hiyo na bei zake ?
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja...
Wadau, nimebahatika kudunduliza kidogo nilichokua napata na kufikia kias flani, hivyo natafuta gari ya kununua aina ya starlet...iwe katika hali nzuri. Nashukuru.
Another Giant is on the way coming! Dear all , please dont miss this ! Follow the link, read carefully and join to become a PRE LAUNCH Member for FREE. 65 days left for registration of pre...
Mimi nimegraduate 2010 sijapata ajira ya moja kwa moja na nimeweza kuweka kiasi cha laki tano, nimepata wazo la kufanya biashara lakini sijajua nifanye biashara gani. Naombeni ushauri wenu ili...
THE Parliamentary Public
Organization Accounts
Committee (POAC) has formed
a probe team comprising three
legislators to investigate fraud
at Mkwawa University College
of Education after...
Naomba wanaofahamu contact za wauza magari ya kijapani yaliyotumika huko Uarabuni, maana gharama ya kununua Japan gharama za usafirishaji ni juu mno. Ningependa kwenda mwenyewe kuchagua na kufanya...
Hi wanajamvi,
hivi haya mafrji ya BOSS yanatoka wapi, maana sikuhizi yamejaaa hapa Bongo, inaonekana yanauzika sana kushinda mengine. nimejaribu kuyafuatilia kwenye mtandao lakini wapi hii kitu...
Great Thinkers,
Hivi punde nimesafiri na ndege za 540.
Wahudumu wangu walikuwa George na Moses akati Ruban wetu alikuwa Adili. ila Co pilot simkumbuki)
Maelezo ya usalama yalitolewa kwa uzuri...
Heshima yenu ndg wanajf.
Nimekuwa nikitafuta benki yenye Fixed Deposit A/C yenye RATE nzuri, na wakati nikiwa EXIM Bank naongea nao kuhusu rates zao ya kwamba ni higher than other banks ambazo...
wadau
nisaidieni ushauri nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mishemishe za hapa mjini nishaurini kweye haya magari ni lipi durable na economical na upatikanaji wa spea kwa bei nzuri...
The government has signed multi-billion shillings production sharing agreements (PSA) with Brazil's Petrobras, Heritage of Britain and India's Motherlands Industries for oil and natural gas...
Heshima wakuu,
Nimekaa nikijiuliza katika kuhangaika kwangu kama kuna benki iliyo bora ama yenye uafadhali katika kutoa Service kwa wateja ikiwemo na
1. Huduma nzuri kwa wateja hata wale akina...