Kuna mifano mingi ya watu waliopata mafao mazuri kama sehemu ya malipo ya kustaafu baada ya utumishi wa umma au sekta nyingine hapa Tanzania.
Lakini mwisho wa siku, hawa watu hupoteza pesa hizo...
Nadhani wakati umefika wa kuanzisha noti kubwa zaidi ya sh 10,000 (~$6/~4). Noti ya 10,000 ni ndogo sana ... yaani imekuwa hadi mtu unajukuta unaenda ATM kila siku! Haya, na huko kwenye ATM zetu...
Wadau mwenye link ya mashine hizi za kupondea kokoto za ukubwa mbalimbali naomba anisadie preference ni mobile stone crusher ya uwezo wa tani 5 mpaka 10.............mengine zaidi mtanisaidia.
Wasalaam wanajamvi,
tafakarini juu ya hiki kipande cha habari ili tujue kuwa ni muenelezo wa sera zetu za 'kinafiki' au kuna ukweli.
People entering or leaving the country must inform officials...
50yrs back, the country was not developed like now days. During Mwalim era & retired Hon Mwinyi, the country was not much good if compared to Sir W. Mkapa. During Mkap era the country was very...
Kwa sasa jiji la Mwanza ni zuri kwa mwonekano wa nje na ndani kuliko Dar es salaam.. Ni mahala pazuri sana kwa kuishi na kufanya biashara ni kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa murua na miundo...
This brand is valued at about 66 billion dollars and is undoubtedly the most powerful brand in the world. This search engine was started by Sergey Brin and Larry Page in 1996. Google is known for...
Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu, nataka kufungua account kwa ajili ya shirika lisilo na faida. Ni njia gani nitatumia ili nisilipe kodi. Kwani account si ya kibiashara ni kwa ajili ya msaada...
habari wana jf
jamani kuna mdau anatoa huduma kuwezesha kufungua kampuni ya sole proprietorship,partners,limited company,ikiwa ni pamoja na kufatilia ishu zote za kusajili jina pale...
Kahawa
Sakata la ununuzi wa kahawa mbichi wilayani Ileje limepata ufumbuzi, baada ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, kuruhusu serikali ya mkoa na wilaya kuendelea...
Print | Close this window
Mali Seeks bigger share in mines, lower taxes Mon Jan 23, 2012 3:42pm GMT
By Tiemoko Diallo
BAMAKO (Reuters) - Mali is seeking to raise the state share in mining...
Kuwepo kwa hii forum kumetuwezesha wengi wetu kujifunza mengi na kuongea na real millionaires and real entrepreneurs who have been there and done that.
Katika spirit hiyo hiyo ningependelea kuona...
Rafiki yangu mmoja huko Arusha ametimua karibu wafanyakazi wake wote akidai kuwa "wanamtia hasara". Nilipomuuliza kwa undani nni kinetokea sikuhitaji mifano mingi. Kilichomuudhi zaidi ni kuwa...
Wandugu, naomba mwenye uelewa hili hili swala anijuze. Nafahamu mashirika ya umma na taasisi mbali mbali za umma huwa na kitu kinaitwa Bodi ya wakurugenzi, ambao huteuliwa na Waziri husika na...
Do you realize how many mistakes you have made chasing the Tanzanian dream (Maisha Bora) that the society /government drums into your head through 7 years of primary education, 4 years of...