Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Have you struggled hard to get a designer, cost estimator for your home design as well as you need technical advises for your house?now problem solved, Unaweza kupata design ya nyumba ya kuishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naomba kuuliza swali ? Mfano mtu anataka kuanzisha something like website ambayo itakuwa na software application yake kwa both PC na mobiles sawa je jinsi ya kupata leseni kwa biashara ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kenya to award first gold mining licence next week A goldsmith displays gold bars at his shop in Riyadh October 12, 2009. Kenya will issue its first ever gold mining lease on Tuesday, opening...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaishi katika mji mdogo usio na ofisi ya bima. Kutokana na ongezeko la pikipiki za mchina ninatamani kuwa wakala wa bima kwani madereva wanaendesha mwendo mrefu kutafuta huduma hiyo ili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau: Naomba msaada kidogo wa real experience ya watu kuhusu hiyo mada hapo juu.Im a businessman,ila nataka ku-expand into a very new business venture....kufungua a street corner sneakers store...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naomba kufahamishwa gharama zote za kulipia bandarini(Ushuru na kodi zote) kwa gari ya mwaka 1997 Honda CR-V kutoka Japan CIF 3500 usd. Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Mwenye uzoefu na hii biashara si vibaya akatupatia ushauri hapa jamvini kuhusu yafuatayo: 1) Unasafirisha wanyama gani? ( Mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku, nguruwe ?) 2) Je, unawatoa mkoa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nauza AVR-20,AVR-449,Genset battery chargers na generator starting controller,contact:0653800375
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toka Waziri wa Uingereza kutoa masharti ya misaada kwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwamba lazima tukubali mambo ya ubaradhuli na usagaji. Mbona mpaka sasa Rais JK hajasema chochote kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
11 November 2011 Last updated at 07:33 ET India telecoms corruption trial under way The BBC's Sanjoy Majumder: "It deals with allegations that government policy was formed in a way to benefit...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
SUCCESS BELONGS TO THOSE WHO SEE POSSIBLITIES BEFORE THEY BECOME OVIOUS.Gud lucky!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf, nina kuja kwenu tena katika jukwaa hili nikitaka ushauri wenu kwani najua humu kuna watu waliobobea na kupitia mambo mbalimbali. Jamani kusema kweli natamani siku mja kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kujua gharama za server na makampuni yanayo uza kwa hapa Tanzania
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Guys nafikiria kuanzisha biashara ya bureau de change, nadhani katika mazingira ya nchi yetu ambayo currency yetu haipo stable biashara hii inaweza kulipa. Chamsingi naomba mnisaidie kujua how...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
PRESIDENT Yoweri Museveni has said he expects the country's economic growth rate to more than double following the discovery of oil and gas. Museveni voiced his optimism at a joint press...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Hi all, I'm newbie and I want to have your help to find Production manager Do you have or do you know? Do you have or do you know? Many thanks advance!
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wanafahamu, inachukua muda gani kwa mteja wa benki ya posta kukopa baada ya kufungua akaunti? Au unaweza kufungua leo na kesho ukaanza mchakato?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
By The Citizen Team Dar/Dodoma. There are growing signs that State coffers are running dry, a situation which has put the government in an awkward position when it comes to meeting its...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…