Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

  • Closed
Nilitaka kujisajili kwenye Huduma ya TIGO PESA cha kushangaza nikaambiwa eti nilishajisajili hivyo nikalazimika kwenda kwenye Ofisi za Tigo pale Mlimani city kutaka kufahamu ukweli wa hili suala...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ifuatayo chini ni habari ya tuhuma za waziri Mkuu wa Uingereza kutumia Madawa ya kulevya akiwa na umri wa miak kumi na tano. DID-smoke-cannabis.html Exclusive: Cameron DID smoke cannabis By...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leaders aren't born they are made.And they are made just like anything else, through hard work.From Rizone Kikwete-facebook maybe your father was born to be a loser!!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF, Nataka kufungua kituo cha kufundisha computer short courses kama introduction, office packages, na baadae graphics na web development. Naomba wenye uzoefu na ufahamu juu ya taratibu za...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
am a young lady with 22 yrs old ,am looking for a public relation post in any office ,i have a bachelor degree in public relation and marketing i also have a field expirience from a known...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Angalia link hapo! Mwanza International Airport Harafu toa maoni yako kuhusu usalama wa hiyo eneo, biashara zinazofanyika kimya kimya, ajali nyingi zinazotokea bila kutangazwa! mzungu anaulizwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni au shirika fulani, ungekuwa wapi leo hii kimapato? Labda ujanielewa vizuri, Je unaweza kukumbuka leo hii ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Want to be/are an entrepreneur ? With the growing construction and real-estate sector, there are various opportunities that arise. Do you offer products/services that would cater to the needs of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ya asubu wana JF, Na pia nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu. Jamani natafuta kama kuna mtu anaweza akanionganisha na watu ambao nitapata vifaa vya Gym vyoote yaani kuanzia Body sold...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello jf people, i hope your are doing great, i have an idea for banks to increase customer for banks i need contact detail for managing director of any banks so we can talk about this deal...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna habari za kuaminika sana kuwa kuna kontena la futi 40 (karibu tani 30) na limeingie nchini kwa karibu wiki mbili sasa ambalo limejaa vitunguu saumu ambalo linajaribiwa kuingizwa nchini na...
7 Reactions
86 Replies
10K Views
Nimechimba kisima cha kawaida, sasa natafuta pump ya kuvuta maji umbali wa mita 60 na kupandisha juu yatumike kwenye imwagiliaji. Sihitaji pump ya kuzamisha ndani ya kisima, nahitaji pump ambayo...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Jamani naomba msaada nina kampuni yangu na nilitakiwa kulipa VAT, Provisional Tax Mimi likikuwa nimesafiri nikakuta kijana wangu amelipa vyote kwa paoja kwa kutumia cheki moja. sasa naomba msaada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
sraeli Prime Minister Is a Liar, French President Tells Obama By ALEXANDER MARQUARDT | ABC News - 1 hr 27 mins ago French President Sarkozy called Israeli Prime Minister Netanyahu a liar in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential. Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wachumi sijui wataelezaje hali ya uchumi inavyoendelea nchini kwetu hivi sasa, pesa yetu inaporomoka kwa kasi ya ajabu sambamba na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na gharama za maisha kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/1/ZobDq7zYRko http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/0/dSv07o2twPU MY TAKE these dudes are doing a great job i can't wait for their...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Kuwa kiongozi inaanza namna hii:- Lazima kumuongoza huyu anayeongea/fikiria [Kujiongoza mwenyewe], Kisha kuongoza wasaidizi kwa mfano waosha magari. Kuongoza familia. Kuongoza Ukoo. Kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Precision Airline was not that precise yesterday... does anybody know what happened? Will the company issue any explanation.. au ndio yale yale ya mgema...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wafanya biashara wengi wakubwa wa mafuta ni wajumbe wa kamati ya madini na nishati, ambao inaonekana wana nguvu kubwa kisiasa ya kuweza kuyumbisha hata uchumi wa nchi. Kwa kuwa wamebanwa sana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom