Nilitaka kujisajili kwenye Huduma ya TIGO PESA cha kushangaza nikaambiwa eti nilishajisajili hivyo nikalazimika kwenda kwenye Ofisi za Tigo pale Mlimani city kutaka kufahamu ukweli wa hili suala...
Ifuatayo chini ni habari ya tuhuma za waziri Mkuu wa Uingereza kutumia Madawa ya kulevya akiwa na umri wa miak kumi na tano.
DID-smoke-cannabis.html
Exclusive: Cameron DID smoke cannabis
By...
Leaders aren't born they are made.And they are made just like anything else, through hard work.From Rizone Kikwete-facebook
maybe your father was born to be a loser!!!!!
wana JF,
Nataka kufungua kituo cha kufundisha computer short courses kama introduction, office packages, na baadae graphics na web development.
Naomba wenye uzoefu na ufahamu juu ya taratibu za...
am a young lady with 22 yrs old ,am looking for a public relation post in any office ,i have a bachelor degree in public relation and marketing i also have a field expirience from a known...
Angalia link hapo!
Mwanza International Airport
Harafu toa maoni yako kuhusu usalama wa hiyo eneo, biashara zinazofanyika kimya kimya, ajali nyingi zinazotokea bila kutangazwa! mzungu anaulizwa...
Fikiria kama ungekuwa walipwa kwa kila ushauri wa kutumia huduma ama bidhaa ya kampuni au shirika fulani, ungekuwa wapi leo hii kimapato?
Labda ujanielewa vizuri, Je unaweza kukumbuka leo hii ni...
Want to be/are an entrepreneur ?
With the growing construction and real-estate sector, there are various opportunities that arise. Do you offer products/services that would cater to the needs of...
habari ya asubu wana JF, Na pia nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu.
Jamani natafuta kama kuna mtu anaweza akanionganisha na watu ambao nitapata vifaa vya Gym vyoote yaani kuanzia Body sold...
Hello jf people,
i hope your are doing great,
i have an idea for banks to increase customer for banks
i need contact detail for managing director of any banks
so we can talk about this deal...
Kuna habari za kuaminika sana kuwa kuna kontena la futi 40 (karibu tani 30) na limeingie nchini kwa karibu wiki mbili sasa ambalo limejaa vitunguu saumu ambalo linajaribiwa kuingizwa nchini na...
Nimechimba kisima cha kawaida, sasa natafuta pump ya kuvuta maji umbali wa mita 60 na kupandisha juu yatumike kwenye imwagiliaji. Sihitaji pump ya kuzamisha ndani ya kisima, nahitaji pump ambayo...
Jamani naomba msaada nina kampuni yangu na nilitakiwa kulipa VAT, Provisional Tax
Mimi likikuwa nimesafiri nikakuta kijana wangu amelipa vyote kwa paoja kwa kutumia cheki moja.
sasa naomba msaada...
sraeli Prime Minister Is a Liar, French President Tells Obama
By ALEXANDER MARQUARDT | ABC News - 1 hr 27 mins ago
French President Sarkozy called Israeli Prime Minister Netanyahu a liar in...
Wanajamvi,
Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.
Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
Wachumi sijui wataelezaje hali ya uchumi inavyoendelea nchini kwetu hivi sasa, pesa yetu inaporomoka kwa kasi ya ajabu sambamba na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na gharama za maisha kwa...
http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/1/ZobDq7zYRko
http://www.youtube.com/user/RhinoFoundation#p/a/u/0/dSv07o2twPU
MY TAKE
these dudes are doing a great job i can't wait for their...
Kuwa kiongozi inaanza namna hii:- Lazima kumuongoza huyu anayeongea/fikiria [Kujiongoza mwenyewe], Kisha kuongoza wasaidizi kwa mfano waosha magari. Kuongoza familia. Kuongoza Ukoo. Kuongoza...
Precision Airline was not that precise yesterday... does anybody know what happened? Will the company issue any explanation.. au ndio yale yale ya mgema...
Wafanya biashara wengi wakubwa wa mafuta ni wajumbe wa kamati ya madini na nishati, ambao inaonekana wana nguvu kubwa kisiasa ya kuweza kuyumbisha hata uchumi wa nchi. Kwa kuwa wamebanwa sana na...