By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Operating capital for TCCIA Investment Company (TCCIAIC) has gone up by 173.9 per cent during the past three years, the firms chief executive officer...
Mimi ni mfugaji mdogo na ninauza majogoo ya kienyeji yanayoanza kuwika. Ni makubwa kwa size (breed kubwa). Yako kama 20 hivi na nataka kuyauza yote kwa mtu mmoja. Kama uko -interested unaweza...
Habari wakuu,
Ivi ni kwanini Vodacom haiko kwenye orodha ya makampuni 15 ya walipa kodi bora iliyotajwa na pm?.Mimi najua vodacom ni kampuni kubwa kuliko airtel kwa kuwa mtandao wake unaongoza...
Wadau, habari zenu?
Ni matumaini yangu kuwa mnafuatilia uchaguzi kwa makini kabisa! Tusije tukachakachuliwa! (N.B: Hii haihusiki na mada ninayotaka kuileta hapa)
Naomba yeyote anayeweza kunisaidia...
African Barrick Gold (ABGL.L) is building a 14-kilometre wall around one of its Tanzanian mines as part of new security measures aimed at preventing future attacks by villagers seeking to steal...
Wana JF
Katika benki anbazo wafanyakazi wake wamechoka na wanamajibu ya kukatisha,ni hao wafanyakazi wa Bank ya Posta,sijui wale Wadada pale reception wamechukua kutoka wapi,sijui wana kiwango...
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 1-10-2011 kitakachofanyika MEXICO PUB iliyoko barabara ya Kawawa Kinondoni Manyanya opposite na...
Wana Jamvi,
Hivi ni wangapi wameshawahi kukutana na huu msemo wakati wa kufanya mchakato wa kutoa gari au mali yoyte Bandarini?
I have been Importing cars From Japan for the second year now. kwa...
Wakuu, I trust all is well.
Nauliza estimated cost (including services charges) kwa kufanya transfer of ownership of a car. I bought a car from someone who deals with car importation but the...
kwenye mkutano wa CTI uliofanyika jijini Dar es Salaam uliohudhuriwa na wadau wa viwanda na Waziri wa uwezeshaji Bi. Mary Nagu imetangazwa Tanzania kuongoza kwa kasi ya ukuaji wa uzalishaji wa...
Growth indicator controversyPer capita GrossDomestic Product (GDP per head) is used by many developmental economists as anapproximation of general national well-being. However, these measures...
Naitwa Mgengeli mimi ni dereva wa lori kwa muda mrefu sasa kama miaka 22 natafuta mtu au kampuni ya kuweza kunikopesha gari kubwa (lorry) ili niweze na tuweze kufanya biashara ya kusafirisha...
tunauza sigara (we are selling silver leaf cigarettes) tunazo aina tatu za sigara(three kinds)
1-silver leaf hard-one bundle is 16000/=tz,2-silver leaf soft-one bundle is 20,000/=tz,3-silver...
Habari wana jf.ninaomba mnisaidie mawzao.nina shilingi milioni moja,je nifanye biashara gani kwa mtaji huu mdogo nilionao.mimi ni mkazi wa morogoro mjini maeneo ya mazimbu.
Members, there is a great news that I can design residential houses as well as commercial buildings at a reasonable cost as well as Quality assuarance.
Contacts:nyenze1@yahoo.com
Traffic police on Wednesday launched a countrywide vehicle inspection operation on the eve of the annual Road Safety Week.
This was announced by traffic police national commander Mohamed Mpinga...