Hivi wadau hili kampuni la tigo si la kifisadi kweli? TCRA ni wanahisa? Customer hotline yake naambiwa kuwa ni kama bahati nasibu na ukiipata unalipia. Je sheria za TCRA zinasema hivyo...
Biashara ya pub mbeya inalipa?
MI kwa sasa nipo UK ila ningependa kufungua pub kule kwetu kwa sababu hapa vifaa ni bei rahisi kama tv kubwa ,music systms nk.
Hii biashara inalipa sana kwa hapa tz garama za ufugaji siyo kubwa kama wanyama wengine, mwezi uliopita nilitoka na mbwa wangu mdogo kijijini nimemuuza juzi 80,000/=
Nafikiria kuanza rasmi kufuga...
JF heshima kwenu,
kutokana na utaalam, uzoef, exposure n.k naomba kwa dhati kabisa
mnishauri.
Siku zote hua natamani sana niachane na kazi ya kuajiriwa. na ni ndoto yangu kujiajiri na kuwaajiri...
Hi wana JF wote,
Natafuta watu wa kununua kuni za jumla.
Nina shamba jipya nalisafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo lilipo shamba hilo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
kukiwa kuna anaguko kubwa la uchumi lililosababishwa na wizara ya Ngeleja kwa kutukosesha huduma muhimu ya umeme, wanyabiashara wa majumba ya biashara (Frem) wameendeleza ubabe wao wa kuongeza...
manajamii wenzangu nauliza, hii biashara ina faida gani?..
nimesika hawa jamaa wanapata shilingi 100;- kwa lita ya diesel au petrol. na ni waarabu na wahindi wanao jishuhulisha na bia shara...
Habari jamani.ninapenda kufahamu kuhusu gharama za kuanzisha,na kundesha mradi wa kutengeneza matofali ya mchanga.pia gharama za mashine zinazoweza kutumika na mahali ambapo zinauzwa.kwa yeyote...
Mimi ni mkazi wa morogoro.nina viwanja viwili ,vyote vina ukubwa wa ekari moja kila kimoja.kimoja kipo karibu na mjini na kingine mbali kutoka mjini.sina pesa ya kujenga nyumba kwenye viwanja hivi...
Wana JF long time huko nilikuwa na katabia ka kutoa article moja inayohusu investment kila baada ya mwezi, katabia kale kakafa.. Leo nakarudisha tena na kuunza na hii " Jee ni lini unatakiwa uanze...
Wakuu naomba mnijuze gharama za kuvuta umeme wa TANESCO kwa sasa ziko vipi kwa single phase na double phase maana ninafikiria kuweka umeme kwenye kibanda changu, Nguzo ya karibu ni ya single phase...
Hukumu ya Mahakama Kuu kwenye kesi ya TANESCO Vs Dowans inatufundisha nini? Nani mshindi?
Kutofautiana kwa Mihimili inayoongoza nchi kwenye suala la Ajira ya Mzee Jairo nani alaumiwe? Je nafasi...
IF YOU NEED A DESIGN FOR A RESIDENTIAL,COMMERCIAL BUILDINGS AS WELL AS THEIR COSTS, AT A REASONABLE PRICE FOR QUALITY ASSURANCE.
CONTACT: nyenze1@yahoo.com
+255712833135
asalaam wanna jamii nilikua nahitaji msaada na swali nifwatalo
Explain how a limited company's financial statements are influenced by the legal and regulatory framework to meet the needs of users
Hapo zamani za kale kulikuwa na kijiji Fulani, kilikuwa kizuri sana kwa kuishi isipokuwa tatizo hakukuwa na majim ya uhakika mpaka mvua inaponyesha.
Hili kutatua tatizo hili wazee wakijiji...
Nipo Dar es salaam, nataka kufuga punda. Naombeni mwenye kujua wapi nitawapata kama watatu(3) na bei yake ili tufanye mchakato wa kuwapeleka kwenye boma langu.
Asanteni sana bandugu!
Kutokana na tatizo la ajira katika zama hizi za sayansi na teknolojia watu wengi ktk nchi zinazoendelea wamelazimika kufanyabiashara ndogondogo ili kupambana na hali ngumu ya maisha inayotokana na...
Nimejaribu kutafuta sana maana nzima ya insurance na siipati kabisa. Sijawahi ona au kusikia jamii fulani hapa Tanzania au mtu fulani kapata kanufaika na bima hizi za mali. Labda tuwaulize ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.