Traditional grain, sorghum and millet preferred to maize
Brewers in the East African region are moving from use of barley for brewing to use of Sorghum. In Tanzania, local breweries have been...
Battle for $1bn deal
By Florian Kaijage
18th September 2011
Alarmed by the recent cartel by fuel dealers and a monopoly in gas business, the government has finally decided...
Nimatumaini yangu wote ni wazima, mimi natakajua kuhusu magari kutoka south africa,kwa nini hapa tanzania kuna magari machache kutoka south africa,watu wengi wanapenda kununua magari kutoka Dubai...
Ni nyumba ya kisasa kabisa ina details kama ifuatavyo;
1. Ina vyumba vitatu silf contained,sebule na dining
2. Ina uzio wa matofali
3. Ina parking kubwa pamoja na bustani ya kupumzika
4. Jiko...
wadau naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu ulipaji kodi wa hizi bureau de change.Ukienda kubadili fedha wengi hawatoi risiti na cha ajabu leo nimedai risiti nikapewa ila sioni makato yeyote ya...
wadau naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu ulipaji kodi wa hizi bureau de change.Ukienda kubadili fedha wengi hawatoi risiti na cha ajabu leo nimedai risiti nikapewa ila sioni makato yeyote ya...
Ni muda sasa umepita tangu neno jigambe liingie humu ndani ya Jamii Forum,
Hebu bufya hapa tuingie humu ndani tuone, huenda kuna mazuri ya kuweza
kutusaidia katika mishuhuliko yetu ya kila siku.
Salamu wakuu!
Naomba mchango wenu kimawazo maana nina muwekezaji anatafuta shamba kubwa maeneo ya Morogoro. Angependa sehemu inayostawisha machungwa, malimao, machenza (Citrus) na mananasi. Pia...
hivi karibun imegundulika kuwa mfumo wa kujiunga wa nmb mobile unatoa mwanya wa wez kuiba pesa kwenye acount za wateja wa nmb h n ktokana na ukweli kuwa mwiz anahtaj kujua ac no. Jina na tarakim...
Wanajukwaa naomba nisaidieni. Hivi huu utaratibu wa kila kitu unachotaka kununua au kukodisha ni lazima awepo dalali? Imefikia wakati madalali wanapata faida kuliko wenye mali inayouzwa au...
Mi nipo shule bado nasoma ila nataka kufanya biashara ya daladala ili niweze kujiendeleza kimaisha mapema,ni biashara ambayo naipenda kuifanya kutoka moyoni mwangu,kwa yeyote mwenye uelewa na...
Ndege ya precision ilionza safari zake za south africa tarehe 24 mwezi uliopita inaonekana kurithi mtindo wa ATC wa kuhahirisha safari bila kujali mazara kwa wateja wao.Tangu jumamosi na jana...
* Local investors to get 51 pct of floated shares
* IPO will offer discount to book value-broker
* Airline to spend $11 mln on aircraft
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Sept...
Dar es Salaam, Tanzania
Cattle supplies at the Pugu Cattle Market in Dar es Salaam have substantially increased, but the two-day Islamic celebrations last week pushed up the prices for all...
Soko letu limeungua, tunajaribu kujenga vibanda ili tuendeleze biashara zetu
wanakuja juu na kutunyima tusijenge.Uonevu huu ni mpaka lini?
E-bwana ee ni bora tutafute style nyingine ya kufanya...
Life knowledge bure:
Nchi yetu inatufundisha tuajiriwe na siyo kujiajiri kutokana na mfumo wetu ulivyo kaa sasa tujaribu kupitia katika taratibu hii
maliza elimu yako ajiriwa kisha jiajiri baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.