WanaJF,
Naomba kufahamu namna gharama/kodi za kuingiza gari Tanzania hususan TRA zinafanyikaje.
Nimesikia tu kuwa kuna mabadiliko katika namna ya kukokotoa gharama/kodi kuanzia.
Nitashukuru kwa...
ni bank ipi kati ya CRDB na NMB wanatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa riba nafuu. Kwa mwenye uzoefu na maswala haya naomba anifahamishe pia kama kuna sehemu nyingine tofauti ambazo naweza kukopa...
Inawezekanaje kosa la serikali yenyewe adhabu apewe mfanyakazi, mwekezaji?
Maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii...
Msaada wadau Mwenzenu nimeagiza gari used japan Naomba yeyote muelewa wa hizi kodi mpya anipe ufafanuzi Nimeingia katika website ya tra nimeshindwa kukitumia kile kikokotozi chao please kwa...
nakumbuka zamani nilisoma miezi 6 pig production ila mwalimu hakuwa anaweza kunielekeza vizuri na kiingereza chenyewe cha form one ndo vile matokeo yake leo nakumbuka kidogo sana.ninajipanga...
Aliandaa shamba kwa panga, fyekeo na jembe la mkono, akapanda bila mbolea kwakuwa viongozi wa serikali ya kijiji na mawakala wa pembejeo walichakachua mbolea ya ruzuku. Mvua haikunyesha pamoja...
Gold to boost FDIs to Tanzania, survey establishes
By Polycarp Machira
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania's gold reserves will continue to be a magnet for investors in the medium term...
Finally a unique part/full time home based opportunity looking for business partners to be part of a worlds first class Global Company in Success Education and positive media with International...
ninataka kuanza kilimo kwa kutumia Drip irrigation,Kenya wamefanikiwa kwa mfumo huu.Nahitaji msaada wapi naweza pata vifaa vya huu mfumo na jinsi ya kufanya installation ktk bustani ya ekari
Habari gan wana JF!
Ni shirika gani au kampuni gani inayoweza kunijengea nyumba kwa gharam nafuu?
kwani mm nina kiwanja changu maeneo ya Mbezi, kina Title deed, waungwana nadhani mnajua kujenga...
Sharing is Caring Wandugu,
1. Naomba uelekezi juu ya kuandaa minutes za Uamuzi wa Ma-directors juu ya kufungua Bank Account. Alie na templete anaweza kunisaidia ili
nijue standard...
PFL invites candidates for BUSINESS PLAN writing Training on 26/27 August, 2011. Successful trainees will be part time employed, (10 posts available).
Contacts: 0712 066064/ 0753125474/...
Habari zebu wana JF,
Ninaomba msaada wenu, ukiacha wajasiriamali maarufu kama R.A Mengi na Said Salim Bakhresa, ni wajasiriamali wengine wapi maarufu wenye biashara zenye ushindani hapa Tanzania...
PLUS FINANCE COMPANY LIMITED INVITES CANDIDATES FOR BUSINESS PLAN WRITING TRAINING IN AUGUST, 2011.
CONTACTS: 0712066064/0753125474
visit: The Opportunistic & Future Minded People Web Site : Home
Tanzania's shilling strengthened for the first time in three days against the dollar as some mining companies sold the U.S. currency to pay for local costs.
The currency of East Africa's...
mimi napiga boksi zangu ughaibuni,nataka kupata mkopo kama milioni 30 nina nyumba dar
ninauwezo wa kulipa milioni moja kila mwezi licha ya kuweka nyumba.na kama kuna mwenzangu aliyeko ughaibuni...
Kutakuwa na semina maalumu kwa wajasiriamali siku ya Tarehe 28/08/2011, Jijini Dar kutakuwa na mada nyingi zitakazo tolewa zikiwamo:-
jinsi ya kuanziasha na kuendesha biashara endelevu
Jinsi...
All certificate, diploma and degree holders who underwent various training courses in agriculture are to be employed by the government, Agriculture, Food Security and Cooperatives minister Prof...