Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu Tafadhali naomba kusaidiwa inflection rate ya mwaka katika kukua kwa uchumi wa tanzania. Jamani nina shida nayo sana. Asanteni sana
0 Reactions
13 Replies
2K Views
..............Leo mkuregenzi wa EWURA ndugu Masebo ametangaza bei mpya za mafuta,kama walivyotuahidi kuwa bei mpya zitakuwa zikitangazwa kila baada ya wiki mbili...Kimsingi bei zimeshuka na hii...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Information was finally confirmed that the government of Tanzania has indeed used some of their sparse cash to pay for major aircraft maintenance for Air Tanzania’s (ATCL) sole aircraft, a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa.. I and my colleague are nearing opening a mini market (whole and retail products) in a strategic location in TZ I would like to be furnished with some information (our effort to...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimetembelea site ya nifahamishe.com nikaona kuna jamaa wanajiita Triple B computer wanadai wanaingiza computer nchini from UK, kwa bei poa.. kuna mtu anaweza kunisaidi kama anawajua hawa jamaa au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalam aleykum! Kuna tatizo ambalo naona limeingilia hili suala la tekinolojia ya mawasiliano kwa upande wa barua pepe (e-mail). Nashindwa, kuelewa siku hizi kila napokea barua zisemazo 'NO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna benki moja ya biashara yenye makao makuu yake Pugu Road yenye asili ya ki Nigeria iko kwenye hali mbaya sana kifedha na wateja walioshtuka wameanza kukimbiza amana zao kwa kuhofia usalama wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani kuna yeyote anayejua ule uwanja wa ndege wa kimataifa wa mbeya nini kinaendelea coz sijawahi sikia ndege zinatua na kuruka kutoka huko. It's many years now since the construction...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
On completing university or any other training institution, one comes out equipped with theoretical skills. All these need to be put to fulltime usage. It’s just a question of time to see whether...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Dar es Salaam stock exchange sells data to US DAR ES SALAAM, TANZANIA - The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) has exchanged market data with the United States-based Bloomberg global...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari, laptop aina ya Packard Bell EasyNote TM89 inauzwa kwa Tshs. 700000 na imetumika mwezi mmoja na naiuza kwasababu nna mzigo inabidi niukomboe. Ina sifa zifuatazo: 3 GB ram, 320 GB hard...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Toka alipochaguliwa kuwa waziri wa usafirishaji,Mheshimiwa Nundu ameonesha ishara kuwa yeye ni muumini wa ubepari na kwamba private sector peke yake ndio itaikomboa Airline industry ya Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna yeyote anaweza nipatia sample ya business plan ya jinsi ya kuanzisha VIDEO PRODUCTION COMPANY? Naomba msaada wenu tafadhali. Email: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania linafanya kazi kama wacheza NGOJERA. Katika ngonjera, washiriki huanza kama kubishana lakini, mwishoni lazima wakubaliane. Hakuna ngonjera inayoishia kwa kutokubaliana. Hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, sukari imeanza kuadimika na bei imefika shs 2,000/- per kg. Hali hii inasababishwa na nini? Serikali naona imeamua kuuchuna baada ya awali kuwapiga mkwara wazalishaji na Wafanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, nimekuwa nikifwatilia kwa karibu hii biashara ya VODACOM ya kutuma hela kwa njia ya MPESA, kitu ambacho nimeshindwa kuelewa au kujua kama kipo ni swala zima la ukusanyaji wa kodi ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Why this article caught my attention is the fortune that the founders of the company have come by. The business was supposedly started in 1996 from a mere £2000 loan (5M TSh) and the selling price...
2 Reactions
2 Replies
925 Views
guys niaje ! nimepokea mail inantaka nimtengenezee mtu slogan itayotumika sherehe za TRA siku ya kodi tarehe 21/10/2011.nilitunga hizi wamezikataa na kunipa deadline kesho jion. 1) KODI NI...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sex desire is the most powerful of human desires. When driven by this desire, men develop keenness of imagination, courage, will-power, persistence, and creative ability unknown to them at other...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Doubts hit PR industry after ZK collapse Written by Jeff Mbanga Sunday, 10 April 2011 17:20 When, in August 2010, ZK Advertising Limited won the overall...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom