niwape pole wateja wa Vodacom kwa adha wanayoipata...........to be honest is a very serious problem.leo nilipita Vodashop ya Ohio nikakuta idadi ya wateja kubwa mno na wengi wao mara wanapofika...
Leo ktk pitapita yangu mitaa ya posta mpya jijini DSM nimekutana na ki2u, ambacho kidogo kimenishangaza, kuna vijana wawili walikamatwa na polisi kwa kosa la kujishughulisha na uuzaji wa chenchi...
WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na...
Ushawahi kushindwa kununua maji ya mia tano kwa sababu muuzaji hana chenji ya elfu mbili? Unataka gazeti muuzaji anakwambia chukua mawili, vinginevyo chenji hakuna.
Katika pitapita zangu katika...
Tanzania raises royalty fee on gold exports
SUNDAY, 28 AUGUST 2011 19:07 DOREEN DAVID
DAR ES SALAAM, TANZANIA- The third largest gold producer in Africa, Tanzania, has attracted significant...
Alhaji Aliko Dangote from the oil rich Nigeria is the richest man in Africa with assets worth US$13.8 billion. He is 51st in the world. Just thinking loud about our Tanzanian businessmen...
wakuu nawasalim,tatizo langu ni kwamba tuna kampun yetu mimi na kaka yangu inajishughulisha na electrical repairs,instillations,repairs of ac and generetors,ina wafanyakaz watano,kampun yetu ina...
Hi, habari zenu?
Ushauri wenu, maoni yenu ni muhimu kweli!!!!!!!!!!
Nikitaka kujenga nyumbaya kuish mimi, mke wangu na mtoto wangu kama hii (AmazingPlans.com House Plan #1885C-SLM - 1885 Square...
Wajumbe wilaya hii ni mpya imezaliwa kutoka wilaya ya handeni, mradi wao unaviwanja 570 bei yao ni tsh 500 kwa square mita wametangaza kwenye magazeti simu zilizoandikwa kwenye magazeti za...
Wana JF katika ulimwengu huu wa kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo kwenye nchi yetu nina imani kuna mambo mengi ambayo tunaweza tukashirikishana katika forum hii ya BUSINESS & ECONOMIC na...
Watanzania tumekubali kuibiwa? Au ni mimi peke yangu nakuwa mlalamishi? Lakini sidhani kama ni haki nimelipia internet bundles afu inatokea zijazitumia then ikifika expiry date zinakuwa cancelled...
SHERIA YA TAFLISI1.TAFLISI MAANA YAKE NINI?Tanzania kama nchi nyingine duniani,uwekezaji/ujasilimali na ukopaji wa benki au taasisi za fedha umekuwa ukiongezeka na biashara zimekuwa zikianzishwa...
Una iPHONE ya zamani ? (3g au 2g).. na kama huitumii.. Niuziye !
Ill buy it , if its working or with any major/minor fault to be mentioned before selling...
PM me ..
Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.
Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine...
Muajiri wangu alitaka wafanyakazi wote tukafungue account NMB house pale azikiwe hili tuweze kuchukulia mishahara kwenye account zetu, lakini leo ni mwezi wa pili, napigwa danadana kuhusu kadi...
Mwenzenu nimeanzisha biashara ya mayai ya kienyeji toka Singida, ndio kwaanza natafuta soko, trey moja 12,000/= kwa wanao hitaji 0783 555603 au kama unaushari juu ya biashara hii wa weza nisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.