Jamani mimi nina mbao nyingi ambazo natafuta soko nje ya nchi.
Je kuna mtu anaweza kunioa connections?
Je market ya mpira ipo wapi?
Niko tayari kusikiliza na kujadili biashara na wadau mbali mbali
Written by MODIRI MOGENDE
Wednesday, 07 September 2011
Botswana Stock Exchange listed Turnstar Holdings is readying to take on the Tanzania property market. According to the company's new...
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has banned sugar exports in a series of measures to tame spiralling prices that have fuelled inflation in east Africa's second-biggest economy, local media said...
Kiwanja kinauzwa mwanza,bwiru press.
Kina ukubwa wa ekari moja,..
kiko mita 50 kutoka ziwani.
Bei yake ni mil 55 kwa sasa.
Ni PM kwa maelezo zaidi au piga
0788 009 002
Karibu
I hope hatutakuja sikia scandals kwenye hii mikataba tunayoingia nao hawa jamaa!
DAR ES SALAAM, TANZANIA-
Monday, 05 September 2011 08:26 Doreen David
The Tanzania t Government has granted the...
Wadau kuna fursa nyingine yaja, kwa wale ambao ni investors kaeni mkao wa kula.
DAR ES SALAAM, Sept 7 (Reuters) -
African Barrick Gold , which has four gold mines in Africa's fourth largest gold...
Kenyas leading mobile money transfer service, M-Pesa, is the top source of revenue for Vodafone in its investment in Safaricom.
Safaricoms latest annual report reveals that Vodafone, the...
Nina shamba langu ambalo ninaliuza liko nje kidogo na Dar es salaam.Mkoa ni Pwani wilaya ya Kibaha.Sio mbali na barabarani.Sehemu lilipo Shamba hili ni eneo linajulikana sana kama Kwa Mbago.Lina...
TAFUTA SHULE BORA KWA AJIRI YA MWANAO na TANGAZA SHULE YAKO BURE!
Tembelea Schoolbook Classic | Homepage or pofya hapa
Wakati wazazi wengi wanapoingiwa na wasiwasi ni vipi watoto wao watapata...
By PAUL WAFULA pwafula@ke.nationmedia.com
Posted Friday, September 2 2011 at 20:52
Precision Air, the Tanzanian airline partly owned by Kenya Airways, will sell part of its shares to the...
Habarini wana JF,
Siku za nyuma niliwahi kufanya biashara ya kisamvu. Kilikuwa kinatwangwa
vizuri na kuchanganywa na kitunguu saumu na chumvi kidogo ili kukitunza
kisiharibike.
Vipi biashara...
Wakuu, jana nilitumiwa sms ikiwa na country code za UK (+491), yenye ujumbe unaosema: "Your Mobile No. has won 615,000.00 Pounds From NOKIA-UK. For details send email to:freenokia@live.com".
Ni...
Salama? Kuna nyumba ambayo haijakamilika(bangaluu)! Ina 1masterroom, 2bedrooms, sitting n dining rooms, ina kitchen, store ndogo, na choo+bafu..! Ipo kunduchi-mtongani njia panda ya kwenda wet...
Habari Great Thinkers,
Eti ni utaratibu gani unahitajika ama unatumika ili kuweza kupata mkopo bank ama katika financial services institution kubwa kwa ajili ya kuanzisha kampuni ama ofisi...
I have never met anyone who really likes losing money. And in all my years, I have never met a rich person who has never lost money. But I have met a lot of poor people who have never lost a...
You need not carry your ATM card to withdraw cash, if you are an IndusInd Bank​ Ltd customer and are carrying your cellphone
Mobile phones have already become a multi-purpose banking...
wapendwa nimesajiliwa kama business name na brela na ktk pitapita zangu nikakuta jina hilo hilo kuna mtu mwingine ana usajili kwa jina hilo hilo. tofauti ni kuwa moja ni business name na ingine ni...
Hii inatakiwa ije na huku bongo ili wanamuziki wafaidi matunda ya kazi zao!
Cell Muzik requires mobile retailers to obtain a licence to transfer music to handsets
If you can't beat them, join...
Hivi kuna siri gani kati ya ma contractor wa KiChina kuwa na bei za chini mno?
Rushwa au Uchakachuaji au bei za material?
kama issue ni bei za material siku hizi dunia iko open na siamini eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.