As the world struggled with the economic crisis, so did Tanzania, which finally doled out Sh1.7trillion ($1.1billion) as a stimulus package to bail out the economy, which at that time was nursing...
Tanzania has finally surrendered its earlier plans to construct a 53-kilometres tarmac road across the Serengeti National Park, thanks to the pressure from both local and international...
Ukinyimwa bonus au ukipewa bonus kidogo kazini kwenu (kama umeajiriwa), au kama iliwahi kukutokea uliichukuliaje hali hiyo? La pili, siku nilipolipa kodi ya pango pale Kibangu Dsm ya mwaka mzima...
KAMPUNI ya Glasgow International GT LLC ya Dubai imekubali kuwekeza
nchini kwa kuanzisha shirika jipya la ndege linalotarajiwa kuanza
kutoa huduma zake katika kipindi cha miezi...
Wapendwa wana JF,
Asalaam Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.
Napenda kuwakumbusha wale ambao bado hawajaandikisha majina yao kwangu kwa ajili ya JF SACCOS wafanye hivyo sasa. Nitumie jina lako...
Hi,
I am an owner of an IT start-up in Tanzania. I cannot afford to keep people on the payroll so I want to make use of a freelancing model. In this model, I get people to work on some project...
WANA JF NI NAPENDEKEZO MOJA KWA WAJASIRIAMALI .
INTERDEPENDECE CLUBS OR GROUPS OF COMPANY
Nimejaribu Kupitia Thread Nyingi sana Kwenye Jukwaa la Biashara na kwa kweli ni nzuri sana kwa...
Meneja wa Standard Printers, John Mcharo, (wa pili kulia) akimuonesha pleti ya kuchapishia magazeti Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye,(wa pili kushoto)...
Kuna jamaa yangu ana biashara ya usafirishaji. ana miliki malori mawili. kila lori lina uwezo wa kubeba tani 20. ila kwa mujibu wa mizani ya Tanzania inabidi kila lori libebe tani 14 ili lisizidi...
San Francisco. Social networking giant Facebook will likely go public in the first quarter of 2012 with a valuation that could top $100 billion.
In a report, the CNBC quoted experts as saying...
Wana Jf asalamaleykum. Hawa TANESCO kila siku mabadiliko tu yasiyo na tija bali ni ya umahiri wa kubooresha makali ya umeme, hakuna kipya....hata kinyonga japo hubadilika rangi ila ni kwa malengo...
Tanzania has a very low penetration of electricity, with less than 15% of the population connected to the national grid. Many of the country's residents and businesses depend on non-grid...
Wednesday, 22 June 2011 22:37
digg
By Damas Kanyabwoya
The Citizen Reporter
Dodoma. The government has offered more tax concessions to mining companies despite growing concerns that the country...
Dear JF Members
For those who think in long term, a solar system would be the right consideration. Not only can the solar system save on energy cost , but it is also a very environmentally...
The Eurozone debt crisis is the major cause of the turbulent exchange rate, which pushed the shilling to a record low of 2,478 on Tuesday, the Central Bank clarified on Tuesday.
While the US...
Rais jakaya kikwete ameiomba serikali ya Malaysia kuvishawishi vyuo vikuu vya nchi hiyo kuanzisha ama kuamishia shughuli zao hata ikiwezekana kujenga majengo ya vyuo hivyo,katika Tanzania.
Wakuu habarini za muda huu, naamini mkon njema kabisa, Ashukuriwe Mungu.
Eti, kati ya gari ipi hapa ninunue ipi kwa ajili ya matumizi ya kawaida?? TOYOTA GAIA, CARIB na CISTA ARDEO sw??
naombeni...
VODACOM ni matapeli kwa sababu wanauza internet services ambazo ni hewa.......download and upload speed zao ni mwendo wa kinyonga....................................hivi hawa commission ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.