Ndugu wana JF, kama kuna kitu ambacho kweli ninachngia sana kurudisha maendeleo ya Tanzania nyuma ni usumbufu na utirtimba uliopo hapo TRA (Customs). Ukitaka kujua kwamba Tanzania tutachukua miaka...
Napata wakati Mgumu sana,nimeshuhudia wanaharakati wengi sana Wakitoka chuoni na mwisho wa siku wanageuka wanamikakati. Ukiwauliza JIBU 'ofisi zimeharibika' nabaki kuamini kumbe wanaharakati ni...
Dear JF Members (and non members too)
I have the knowledge, skills and 15 yrs experience working in Real Estate Development, mostly in Europe, as an employee. I am looking to start and develop...
Dear members wa JF,
Nina mashamba ambayo nataka sana kuyaendeleza, ila tatizo ni funds za kuyaendeleza. Natafuta long term funds / loans / investors (miaka mitano au zaidi) zenye masharti nafuu...
Ndugu watanzania nawashauri mzidi kuungana kibieshara na nchi za kiaarabu.
Waarabu wanapenda waafrika na wanawaona waafrika ni kama ndugu zao wa karibu sana.
dalili kubwa ya haya nayoandika ni...
Thursday, June 16, 2011, 6:08
Habari kuu, The african
BY STAFF REPORTER
THE OPPOSITION Camp tabled its 2011/2012 alternative budget in the House in Dodoma yesterday, saying agriculture, which...
Habari wakuu kuna mtu yoyote ambae ana ideas katika mambo ya security systems(cctv,fire alarms,intruder systems,access control) ,nitashukuru nikipata mawazo yake kuhusu soko la hii sector hapo...
Naomba kupewa maelezo ya kina! Hivi inawezekana kupewa mkpo na tasisi za fedha kwa dhamana ya biashara ya salloon ya kunyoa il niongeze mtaji.?Najua mabenki wanataka dhamana ya nyumba ,kiwanja nk...
mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa...
Tunakagua matatizo ya magari aina zote,european,asian and americans kwa kutumia diagnosis tool,tupo arusha oilcom sakina kwa mawasiliano piga number 0715 367 367
Nimesikia kuna tozo kama 21 ambazo ndio zinafanya bei yetu ya mafuta inakuwa juu.
Je, kuna mtu anayo list ya tozo zote hizo na kiwango chake (amount) au asilimia zake (percentage).
Nitashukuru...
Habari
I have been thinking about starting a business importing goods into Tanzania from UK. So far I have thought about used cars/laptop. I would like some views on this from people in TZ i.e...
WanaJF
Ninapangisha sehemu mbili za biashara kwenye eneo la maduka na ofisi (BAKWATA Commercial Complex) lililopo Kinondoni Road, kwa jina lingine, Kinondoni Muslim.
Nafasi ziko mwanzoni kabisa...
Hivi kweli nchi hii inaweza kubadilika na kuwa nchi ambayo itakuwa na maendeleo ya kweli??
Nilikuwa naangalia trend ya bajeti ya mwaka huu na mwelekeo wa uchumi wetu naona ni kama vitu viwili...
Jacobsen Elektro AS, a Norwegian power engineering firm has secured a $530.6 million contract for supply and installation of power generation equipment in Tanzania.
The contract includes supply...