MIMI NIKO ARUSHA NA NATAKA KUANZISHA CONSULTANCY FIRM KATIKA MASWALA YA BIASHARA, MEANS BUSINESS CONSULTANCY. KAMA KUNA MTU YUKO TIYARI KWA ARUSHAA BASI TUNAWEZA JOIN TOGETHER KA KUFANYA KAZI YA...
mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa mkoani,nahitaji kubadilishana mawazo na watu wanaofuga kuku wa kisasa wa mayai popote pale walipo,nitashukuru endapo nitapata wafugaji wenzangu au watu ambao wana...
Habarini wanajamvi!
Hivi kama mtu unataka kujaribu zali kwa kuapply tender za kusupply bidhaa kutoka Tanzania kwenda Abroad in European big supermarkets....
Ni document gani inabidi...
Wakati watanzania wakisherekea bajeti "inayowajari" na ambayo itapunguza ukali wa maisha shilingi ya Tanzania imeendelea kuporomoka, sasa inakimbilia $1 = Tzs1,600 ikilinganishwa na 1,400 ya mwaka...
Linapokuja suala la kuingia kwenye Ujasiriamali wengi wetu tuna kawoga na hatupendi kujaribu lakini jee usipojaribu utawezaje?
Wengine wetu bado tuna mindset ya kuajiriwa, wako tunaosubiri wakati...
Entreprenerial Business Manager Needed Mwanza
A business manager is needed at mwanza ,there is a business unit running with Good working Capital, proper nessesary assets like attracting...
Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni.
nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.
Leo ktk gazeti mwananchi nimeona tangazo la halmashauri ya arumeru kuuza viwanja maeneo ya tengeru square meter moja sh 24000.wananchi wakachukue fomu sh 10 000.Swali arusha mjini ilikua sh 8500...
YouTube - ‪America's Got Talent 2011 - Seatlle Auditions - Zuma Zuma - HD 720p‬‏
Watu wetu sie wamelala kama kawaida
kuanzia waziri to wasanii
hawa jama kesho najua wata...
Wadau naomba mawzo yenu kwa yule anayefahamu nataka kufanya mitihani ya acca mm mwenyewe bila kwenda review nisaidie jinsi ya kupata material na jinsi ya kulipia uk.mchongo wenu ni muhimu sana...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sana katika budget zetu, mara nyingi nimekuwa nikiona kuongezeka kwa kodi katika vyanzo vilivyopo ie Bia, Cement, Madini, Soda, Mafuta. Lakini sijaweza kuona jitihada...
Free sanitary towels for primo and seco ladies to standard gauge railway all the way to malaba infrastructure dev and not mention 100 billion allocation to boost agriculture ,did Uhuru get it...
nimetembelea eneo la nyumbani lounge kwa lady JD leo jioni-sunday.nilipitia na wife kwa lengo la kula na kunywa.around saa 12.45 jioni.hapo nje pana binti ana risit book amekaa mkao wa kutoza kodi...
Hivi huyu nicas ana nini?
huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania...
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo...
Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.