Mi nashangaa sana wenye nyumba wetu wanadai kodi ya mwaka mzima kutoka kwa wapangaji wao wakati sisi ama watu wengi tunategemea/wanategemea mishahara ambayo tunalipwa kwa mwezi. Sasa hela ya...
Unasubiri nini sasa..wahi haraka kwa wewe unaeitaji kusafiri hivi karibuni
kampuni hii imetoa promo ya kwenda kigali na kurudi kwa doller 350 tu tax inclusive
kwa maeleo zaidi piga 713 34 9324...
Juzi, jana na hadi hivi sasa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa kutumia M-Pesa imekufa "kwishney' kabisa hapa jijini Dar es salaam, na nadhani nchini kote. Kila wakala wa huduma hiyo...
Federal incentive payments are motivating physician practices and healthcare centers across the US to migrate to EHRs. And, while physicians accept the concept that EHRs will improve the level of...
David Malingha Doya
Source: Sydney Morning Herald June 10, 2011
TANZANIA, which vies with Mali to be Africa's third-biggest gold producer, may introduce a "super profit" tax on minerals similar...
Na Mwandishi wetu
10th June 2011
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam Wasaidizi wa Mifugo (TAVEPA), Ephrahim Massawe, ameishauri serikali kuzitumia kikamilifu ofisi zake za balozi nje ya...
Dalili za kubaini kwamba mwekezaji si mwekezaji bali ni msanzuaji ni hizi hapa:1. Hutumia mabilioni kujisafisha na kujitakasa kwa sabuni na marashi kwa nje, lakini kwa ndani ananuka uharo na...
Tuna ambiwa kama ilivyo kazi ngumu kumpata mwenzi wa maisha ndo ilivyo ngumu kumpata mtu wa kufanya nae Business chekini hiyo nazani itawasaidia wana JF
15 Questions for People Who Are...
Nataka kununua mapazia ambayo yanatengenezwa kwa materials fulani zilizofanywa kama strips. Yamekuwa yanatumika katika ofisi nyingi. Bahati mbaya sijui nitayapata wapi, na hata jina lake silijui...
Hivi karibuni nilipoteza wallet ikiwa na ATM cards zangu za Benki za Standard Chartered na Barclays, nikaenda polisi kuchukua loss report na kupeleka katika hizi Bank for replacing of the cards...
Tanzania ni vigumu kushindana duniani kwa biashara hizi rahisirahisi zinazo endeshwa na Watanzania.
Watanzania wengi hawapendi biashara za kuumiza kichwa wanataka biashara rahisirahisi na ambazo...
Source: Opportunities for Youths in Tanzania: Their PLANS to reduce OUR Poverty!...Mipango YAO kuondoa Umasikini WETU!
Nikiwa katika safari yangu ya kikazi kuelekea Kilimarondo..katika barabara...
Many African cities are going through serious difficulties due to a disease known as traffic jam. There are traffic jam everywhere from North to South, East to West of Africa. However, the most...
Ten Signals That It's Time to Make a Radical Shift in Your Business
Certain business realities signal us that we should make a shift if we are to survive. Herewith, a list of some of those...
Habari yako msomaji.
Home Radio Ministry inakuletea huduma zifuatazo:-
1. Tunasaidia radio mpya zinazoanzishwa kwa kuandaa vipindi vya nguvu, programming ya wafanyakazi kupewa mafunzo.
2...
Kuna huyu bwana Bruce Rockowitz. ni exporter mzuri wa biashara za ubwete za Mchina, yeye ameashiria kumalizia hii biashara ubwete kutokana na mabadiliko ya kimaisha kusini mwa China, sehemu...
Naomba Kusaidiwa hawa watu ukatwaji kodi wao uko vipi na ukokotoaji wa kodi ukoje kwani ni moja ya kampuni za mkaburu zinazoingiza pesa nyingi sana kutoka Tanzania. Ukienda kulipia ankara yako...
LONDON (ShareCast) - East Africa focused oil exploration company Aminex (Frankfurt: 872577 - news) is today holding its annual general meeting in Dublin. In the accompanying slide...
I have the expertise in the tourism business, educated and I have also worked with several companies in management level.
Currently I am the shareholder in one of the up market lodge and I am...