Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

MIMI NIKO ARUSHA NA NATAKA KUANZISHA CONSULTANCY FIRM KATIKA MASWALA YA BIASHARA, MEANS BUSINESS CONSULTANCY. KAMA KUNA MTU YUKO TIYARI KWA ARUSHAA BASI TUNAWEZA JOIN TOGETHER KA KUFANYA KAZI YA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa mkoani,nahitaji kubadilishana mawazo na watu wanaofuga kuku wa kisasa wa mayai popote pale walipo,nitashukuru endapo nitapata wafugaji wenzangu au watu ambao wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni kweli budget hii ya 2011/2012 si ya kiutaalam wa Kiuchumi, ila ni ya kiutaalam wa Kisasa zaidi? Nawakirisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi! Hivi kama mtu unataka kujaribu zali kwa kuapply tender za kusupply bidhaa kutoka Tanzania kwenda Abroad in European big supermarkets.... Ni document gani inabidi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakati watanzania wakisherekea bajeti "inayowajari" na ambayo itapunguza ukali wa maisha shilingi ya Tanzania imeendelea kuporomoka, sasa inakimbilia $1 = Tzs1,600 ikilinganishwa na 1,400 ya mwaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gari Inauzwa , iko Dar , bado iko vizuri sana kama inavyoonekana , bei ni 14 m , serious buyer apige 0789331315
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Linapokuja suala la kuingia kwenye Ujasiriamali wengi wetu tuna kawoga na hatupendi kujaribu lakini jee usipojaribu utawezaje? Wengine wetu bado tuna mindset ya kuajiriwa, wako tunaosubiri wakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Entreprenerial Business Manager Needed Mwanza A business manager is needed at mwanza ,there is a business unit running with Good working Capital, proper nessesary assets like attracting...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii, kuna mtu anafahamu wapi hapa Dar naweza kununua coal au makaa ya mawe. ningependa kujua bei na kiasi cha mzigo wa kuanzia ambao unafika sokoni. nahitaji coal kwa ajili ya chanzo cha moto.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo ktk gazeti mwananchi nimeona tangazo la halmashauri ya arumeru kuuza viwanja maeneo ya tengeru square meter moja sh 24000.wananchi wakachukue fomu sh 10 000.Swali arusha mjini ilikua sh 8500...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
YouTube - ‪America's Got Talent 2011 - Seatlle Auditions - Zuma Zuma - HD 720p‬‏ Watu wetu sie wamelala kama kawaida kuanzia waziri to wasanii hawa jama kesho najua wata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mawzo yenu kwa yule anayefahamu nataka kufanya mitihani ya acca mm mwenyewe bila kwenda review nisaidie jinsi ya kupata material na jinsi ya kulipia uk.mchongo wenu ni muhimu sana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sana katika budget zetu, mara nyingi nimekuwa nikiona kuongezeka kwa kodi katika vyanzo vilivyopo ie Bia, Cement, Madini, Soda, Mafuta. Lakini sijaweza kuona jitihada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Free sanitary towels for primo and seco ladies to standard gauge railway all the way to malaba infrastructure dev and not mention 100 billion allocation to boost agriculture ,did Uhuru get it...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
nimetembelea eneo la nyumbani lounge kwa lady JD leo jioni-sunday.nilipitia na wife kwa lengo la kula na kunywa.around saa 12.45 jioni.hapo nje pana binti ana risit book amekaa mkao wa kutoza kodi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi huyu nicas ana nini? huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Kama alivyoisoma leo asubuhi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bajeti hii tena sijui wataongeza bei? mh,natamani bia moja iwe 5000/= na sigara iwe 3000/= :majani7: Tungoje
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…