Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Unaweza ukajibu swali hili kwa kuangalia vitu viafutavyo nini unazalish na kwa ajili ya nani? Maana yake ni kuwa biashara ina mambo mawili Uzalishaji (Production)...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendwa wangu nandugu zangu, maisha yetu yalivy magumu lkn utashangaa viongozi wetu hawaoni ugumu unaowatesa wa TZ kwa ujumla je, tutafanyaje ili waone kuwa kama kuna ulazima kusafiri kwenda UK&...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nina plani ya kuanzisha biashara ya usambazaji wa kazi za muziki pamoja na zile za filamu... Sasa ninaona ni vyema nikaweka mjadala hapa mezani tuone kwa pamoja ni jinsi gani tutaweza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanajamii, kuna rafiki yangu nilikuwa naongea naye weekend hii, anaishi nje ya nchi ila anataka kurudi Tanzania na kuwekeza. mojawapo ya business idea ni kufungua BOOKSHOP,. sasa wanandugu kwa...
0 Reactions
26 Replies
13K Views
kuna mdau aliwahi kuleta hii thread siku za nyuma japo hakupata mwitikio mzuri nafikiri si mbaya nikiirudisha hapa kama angalizo......hawa jamaa wanapaswa kuchunguzwa ni majizi ya wazi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wna JF Kuna gari zuri nimeliona kwenye web ya tradecarview, nataka kuagiza. Je kuna mtu keshaagiza gari kupitia hao jamaa? nina experience na Trade Haus Logistics (THL) tu. Je ni waaminifu? wako...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Mkurugenzi mkuu wa TIC amestaafu rasmi kazi hiyo kuanzia leo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutokana na kuongezeka kwa gharama za petroli kila wiki nimeamua kutumia usafiri wa pikipiki ndogo aina ya BATA VUS, Hivi bado zinapatikana?Kama zinapatikana basi naomba waungwana mnijuze ni wapi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamii! naandika habari hii kwa masikitiko, jana majira ya saa 5 asb nilienda kupata huduma ya M-Pesa pale Ubungo Plaza, nilikua naenda kutoa pesa katika account yangu. cha...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii kampuni ya voda bado haijajipanga vizuri kupitia huduma yake ya MPESA, unanunua umeme saa hizi unakuja kutumiwa tokeni kesho yake na kama umeme umeisha ndio unalala giza lol!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari za leo ndugu wana JF. Mwenzenu nimeanzisha biashara ya kukopesha wafanyakazi mkopo wa chap! chap! yaani kuanzia 100,000 mpaka 500,000 na mdeni ni lazima anilipe ndani ya mwezi mmoja na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau mwenye mbinu ya kupunguza matumizi ya mafuta kwenye magari yenye turbo au cc kubwa kama SUBARU,VX etc naomba anijulishe tafadhali au anishauri natanguliza shukrani maana najua hapa bongo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nilikuwa naomba mawazo yenu. Linapokuja swala la bidhaa feki yaani (counterfeit goods), watu wengi tunanyooshea kidole China. Na hii imeharibu sana image ya China kwa kuharibu fikra za watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jamii naomba msaada wenu nimejiunga na huduma ya crdb internet banking mwezi wa pili sasa lakini kila nikijaribu kufanya malipo au transaction yoyote online inakataa na inapokea taarifa ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ni mjasiliamali mwenye kutambuliwa na mamlaka husika nchini.Kuna investment ya haraka nataka kuifanya, Itagharimu milioni mbili, tayari nina milioni moja na nusu, nahitaji mtu wa kunikopa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi to everybody. I am interested in investing into a small business enterprises like salon busness as trying to figure out a free risk investment for a living.So I welcome anyone who can give me...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakubwa, Natafuta vifaa vilivyo kwenye kichwa cha tangazo hili kwa ajili ya matengenezo ya ma- gate. Hivi vitu vipo mtaani lakini natafuta unafuu wa bei. Kama unajua unavyo kwa bei nzuri ni- pm...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau, kama kuna mtu anafahamu kampuni nzuri ya ukaguzi wa mahesabu na uhasibu inayomillikiwa na vijana wa kitanzania wanaoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa naomba anipe contacts zao...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Worst ever carbon emissions leave climate on the brink Exclusive: Record rise, despite recession, means 2C target almost out of reach...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari aina ya NOAH ikiwa ina miezi miwili toka iingizwe nchini km 48000 ya mwaka 1998. kwa mawasiliano zaidi na ununuzi call 0655 915652 or 0714982212.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom