Unaweza ukajibu swali hili kwa kuangalia vitu viafutavyo nini unazalish na kwa ajili ya nani?
Maana yake ni kuwa biashara ina mambo mawili
Uzalishaji (Production)...
Wapendwa wangu nandugu zangu, maisha yetu yalivy magumu lkn utashangaa viongozi wetu hawaoni ugumu unaowatesa wa TZ kwa ujumla je, tutafanyaje ili waone kuwa kama kuna ulazima kusafiri kwenda UK&...
Jamani nina plani ya kuanzisha biashara ya usambazaji wa kazi za muziki pamoja na zile za filamu... Sasa ninaona ni vyema nikaweka mjadala hapa mezani tuone kwa pamoja ni jinsi gani tutaweza...
wanajamii, kuna rafiki yangu nilikuwa naongea naye weekend hii, anaishi nje ya nchi ila anataka kurudi Tanzania na kuwekeza. mojawapo ya business idea ni kufungua BOOKSHOP,. sasa wanandugu kwa...
kuna mdau aliwahi kuleta hii thread siku za nyuma japo hakupata mwitikio mzuri nafikiri si mbaya nikiirudisha hapa kama angalizo......hawa jamaa wanapaswa kuchunguzwa ni majizi ya wazi.
Wna JF
Kuna gari zuri nimeliona kwenye web ya tradecarview, nataka kuagiza.
Je kuna mtu keshaagiza gari kupitia hao jamaa? nina experience na Trade Haus Logistics (THL) tu.
Je ni waaminifu? wako...
Kutokana na kuongezeka kwa gharama za petroli kila wiki nimeamua kutumia usafiri wa pikipiki ndogo aina ya BATA VUS, Hivi bado zinapatikana?Kama zinapatikana basi naomba waungwana mnijuze ni wapi.
Habari zenu wana Jamii!
naandika habari hii kwa masikitiko, jana majira ya saa 5 asb nilienda kupata huduma ya M-Pesa pale Ubungo Plaza, nilikua naenda kutoa pesa katika account yangu. cha...
Hii kampuni ya voda bado haijajipanga vizuri kupitia huduma yake ya MPESA, unanunua umeme saa hizi unakuja kutumiwa tokeni kesho yake na kama umeme umeisha ndio unalala giza lol!
habari za leo ndugu wana JF.
Mwenzenu nimeanzisha biashara ya kukopesha wafanyakazi mkopo wa chap! chap! yaani kuanzia 100,000 mpaka 500,000 na mdeni ni lazima anilipe ndani ya mwezi mmoja na...
wadau mwenye mbinu ya kupunguza matumizi ya mafuta kwenye magari yenye turbo au cc kubwa kama SUBARU,VX etc naomba anijulishe tafadhali au anishauri
natanguliza shukrani maana najua hapa bongo...
Nilikuwa naomba mawazo yenu. Linapokuja swala la bidhaa feki yaani (counterfeit goods), watu wengi tunanyooshea kidole China. Na hii imeharibu sana image ya China kwa kuharibu fikra za watu...
wana jamii naomba msaada wenu nimejiunga na huduma ya crdb internet banking mwezi wa pili sasa lakini kila nikijaribu kufanya malipo au transaction yoyote online inakataa na inapokea taarifa ya...
Mimi ni mjasiliamali mwenye kutambuliwa na mamlaka husika nchini.Kuna investment ya haraka nataka kuifanya, Itagharimu milioni mbili, tayari nina milioni moja na nusu, nahitaji mtu wa kunikopa...
Hi to everybody.
I am interested in investing into a small business enterprises like salon busness as trying to figure out a free risk investment for a living.So I welcome anyone who can give me...
Wakubwa,
Natafuta vifaa vilivyo kwenye kichwa cha tangazo hili kwa ajili ya matengenezo ya ma- gate. Hivi vitu vipo mtaani lakini natafuta unafuu wa bei. Kama unajua unavyo kwa bei nzuri ni- pm...
Wadau, kama kuna mtu anafahamu kampuni nzuri ya ukaguzi wa mahesabu na uhasibu inayomillikiwa na vijana wa kitanzania wanaoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa naomba anipe contacts zao...