Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

MANY times friends have asked us to join a network marketing group. Some have told us we should quit our day jobs because a network marketing group will get us rich quickly. However, many of us...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu, natamani ku bid gari la mwaka 2004 ambalo ni la ubalozi. Ni TOYOTA LANDCRUISER, SUBARU FORESTER. Nikibid kwa mfano M4 kwa kila moja au mojawapo wa hayo hapo juu, ushuru unaweza kuwa kiasi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila mwaka Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa Serikali anafanya ukaguzi na kutoa taarifa za kitaalamu. Matokeo yake ni ya wazi, na maoni yake ya kitaalamu kuhusu namna ya kurekebisha upotevu ama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yako msomaji! Naomba msaada kama unasample ya script ya movie/filamu za kibongo unisaidie nataka nione huwa zimekaaje! Asante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi wapendwa wana JF mi nina shamba la ekali 16 nje kidogo ya jiji(Dar) nataka kufuga kuku na nguruwe but sina pesa ya kuanzia mradi huo.naomba mawazo yenu nifanyeje niweze kutoka katika maisha aya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za mida hii waheshimiwa,naomba nipate kujua bei ya projector,iwe kama zipo za aina mbalimbali,nijue bei ya kila aina,kutoka dukani au kwa mtu.nawakilisha wakuu
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Tafadhali msaada wenu ni muhimu sana asanteni
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati ameilalamikia serikali ya CCM kwa kile kilichoelezwa ni mzaha kwani mapendekezo ya tume yake hayajafanyiwa kazi hata kidogo huku tatizo la umeme likiwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
.. jamani wataalamu wa uchumi tusaidieni sisi wananchi wanyonge kwa hili.. bank hii ilijitangaza kuwa ni ya wakulima..maana watu wa kipato au familia MASIKINI..(KAMA ANAVYOJIITA MH PINDA)...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Oooohoooo, watanzania kwishney Thamani ya shilingi yazidi kuporomoka dhidi ya US $. Bei za vitu zitazidi kupanda bei Kipato cha mtanzania kipo pale pale au kipato kinaweza kupungua...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina nia ya kununua gari la kutembelea ka salon. Naomba ushauri kwani ni mara yangu ya kwanza kutaka kutimiza nia hii: 1) Kwa kuzingatia bei je niende kwenye showrooms kununua au niagize mwenyewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
5 Easy Steps to Becoming a Millionaire Erin Joyce Wednesday, May 18, 2011 Share retweet Email Print More from 7 Real-Life Ways to Become a Billionaire at Investopedia.com Why You Don’t...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, ningependa kufikisha kwenu ili nijue hasa uchumi wa nchi unapimwa kwa kutumia vigezo gani hasa, kwa sababu huwa tunaambiwa tanzani a ni nchi masikini angali ina mali asili za kutosha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A motion that envisages Kenyans aged over 60 receive a Sh2,000 monthly stipend received huge support from MPs Wednesday. The motion was also amended such that if passed and assented to by the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Za saa hizi waungwana,nataka kuanzisha mradi wa kuku,nimeshauriwa kibaha panafaa,je kiwanja heka moja ntapata kwa bei gani?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napangisha nyumba mbili kiluvya kwa komba kila nyumba vyumba viwili'sebule na choo ndani'bei 180000 per month nitafute kwa no 0714519880
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum, nina nyumba yangu mitaa ya tegeta nyaishozi haiko barabarani,unaingia ndani kama mwendo wa dakika 10 kwa mguu toka barabara kuu,ninayohitaji kuipangisha ,ila tatizo niko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania ni watumwa katika nchi yao. Viongozi wa ccm ndo wakoloni weusi. Maeneo ya kuchimba madini wamepewa Wazungu - Tanzanite One, Barrick Tarime, Anglo Gold Geita, Mwadui and you name...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom