THE Government has started a process of designing a Universal Social Pension scheme (USP) that will enable all Tanzanians aged 60 and above to get a monthly stipend to sustain their living and...
Wakuu hii imekaaje? Pamoja na hali mbaya ya uchumi inayowakabili watanzania lakini bado kimataifa tuko vizuri kwa vigezo vya IMF. Katika nchi 25 za mwisho inaonekana Tanzania tuko juu ya nchi...
Ndugu wadau tatizo ni kwamba kupiga simu huduma kwa wateja ni bure so kuna wateja wengi wanapiga simu hasa wa maeneo ya kishapu,katesh,babati,shinyanga,mtwara (haswa...
Experts warn Dar not to hire generator
Posted Monday,
May 16 2011 at 00:00
THE EAST AFRICAN
As Tanzania returns to the dark ages, The EastAfrican has learnt that the route being taken by...
Sunday, May 15, 2011, 9:12
Habari za Mikoani, Mtanzania
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MBUNGE wa Ilemela Jijini Mwanza, Highness Kiwia (CHADEMA),amewaonya wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda vya...
Hello GTs!
Ninafungua kampuni itakayohusika na utoaji wa huduma za afya. Kama kawaida ya biashara, ningependa nifungue account katika bank yenye uwezekano mkubwa wa kunipa mkopo (labda baada ya...
Tukiwekeza kwenye Dollars je tutapata returns kwenye Dollars??? kuna mtu anajua hili
Tanzania is concerned about little enthusiasm shown by its citizens to join the Dar es Salaam Stock Exchange...
Wandugu,
Ninaudhika sana ninapomwona kikwete anawafokea watu wazima kama mawaziri hadharani; mbele ya waandishi wa habari. Yeye ana rekodi gani anayojivunia inayompatia nguvu ya kuwanyoshea...
nimekuwa nikifuatilia kwa karibu taarifa kuwa wahisani wamepanda dau kwenye bajeti ya nchi yetu kutoka Bolioni 814 mwaka jana mpaka Bilioni 840 mwaka huu.
kinachonishangaza hapa ni kuona vyombo...
Ni swali dogo tu lakini nilitaka kujua jinsi Dr. Kikwete (heshima-UDOM) anavyojisikia wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano ya msaada wa fedha kwenye bajeti ya serikali.
Kutopewa uzito na nchi tajiri kikao cha Istanbul cha kuzisaidia nchi zenye ustawi mdogo
Kikao cha nne cha Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuzisaidia nchi zenye ustawi mdogo duniani kimefanyika...
kwa wale wote waliopo DoDOMA,na walikua wanataka kuchorewa ramani za nyumba, familia,gest house au hata ramani za maghorofa,kwa wanaoitji wani Pm tuweze kufanya kazi.bei maelewano.
Jamani wale waliotazama tv leo mmeona nchimbi
alivyozungumza kuhusu mbio za mwenge mwaka huu
utasema jambo la maana sana......
sasa najiuliza hivi hizi mbio za mwenge zitapigwa lini...
habari wakuu, ndugu yangu anauza kiwanja ukubwa ni mita 22 x 25. Kipo mahali sio bondeni wala hakina slope sana, hakijapimwa bei 6 milion. Ni Mbezi juu unaingilia barabara ya Jogoo au kiwanda cha...
Hivi karibuni mabadiliko mengi ya ki teknologia yamekua yakiendelea hapa nchini. Mimi kama mtumiaji wa intaneti nimekua nikifuatilia maendeleo mbali mbali yanayo fanyika kwenye mtandao yani...
Wapendwa amani ya Mungu iwe juu yenu.
Naomba kwa mwenye kufahamu anijulishe ni wapi inapouzwa milango mizuri imara na ya design za kisasa kwa Dar es salaam.
Namaanisha milango ya mbao ya ndani...
By BILHAM KIMATI, 13th May 2011 @ 13:53,
HOME Affairs minister, Mr Shamsi Vuai Nahodha has refuted allegations levelled against him by mangrove wood smugglers that he once defended them and...
Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora.
Sehemu ya ndani ya uwanja huo.
Habari ambazo ninazo kutokana na kuhoji wakazi kadha wa kadha wa mkoa wa Tabora, uwanja wa Ally Hassan Mwinyi ni mali ya...
Egypt: Suzanne Mubarak detained in corruption probe
Mrs Mubarak's husband had already been detained by investigators
Continue reading the main story
Egypt's Revolution
Communal conflict...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.