Wakuu poleni kwa majukumu. Jana nilipata kigugumizi cha mwaka pale ambapo katika harakati za kufungua kampuni yangu niliambiwa siwezi kupata TIN hadi nilipe provisional tax.
Nilimuuliza huyo...
Aise ukipita Nyerere Road kama unatokea Kamata unaelekea Mnazi Mmoja Kuna HOTEL upande wa kushoto inaitwa TANSOMA HOTEL, lakini ghafla ile Tansoma Imeondolewa imebaki neno "HOTEL" Wadau hebu...
Jamani wana Jamvi naomba kama kuna Mtu anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile kupata Sehemu jijini Dar niweze kufungua Biashara ya Stationery
Eneo liwe ni Potentila kwa Biashara husika yaani...
Jamani nauliza exchange rate ya 1 pound ya Uingereza kwa Tsh,niliacha Pound 1 sawa sawa na Tsh 2200,je sasa hivi 1 pound ni sawa na Tsh ngapi ,rate ya kwenye bureau
Habari wapendwa wote wa jamii forum...nawashukuru sana na michango yenu mbalimbali hasa katika kujikwamua na hii haili ngumu...
Mmi nina hela yangu kidogo kama mil 5 hivi na nina eneo la shamba...
IMF YAIKALIA KOO SERIKALI
Yaitaka iangalie upya misamaha ya kodi
*yasisitiza ongezeko la kodi katika madini
Na Mnaku Mbani
MAOFISA wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) wameitaka serikali...
Wana JF
Ninaamini wote tutakubaliana ya kwamba moja kati ya changamoto inayomkabili mjasiriamali ni chanzo cha fedha katika kuanzisha au kuendeleza biashara yake.
Kuna malengo nimeweka kwa...
Kabla ya kupata ramani ya nyumba ningeomba kupata msaada wa kuangalia picha za nyumba mbalimbali ili niweze kuona mjengo wa nyumba ambao unavutia zaidi ndipo nimpelekee Archtecture kwa ajili ya...
By FARAJA MGWABATI,
10th May 2011
THE International Monetary Fund (IMF) has urged the Tanzanian government to increase tax on mining activities as a strategy to boost revenue collection to meet...
Hapa ndani nauliza wakuu,
Je, hivi mtu akiwa na ideas nzuri za business na hana hata chochote anaweza kupata wapi mkopo au mtaji wa kuanzisha biashara? Naombeni msaada wandugu!
Nimekutana na website ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao ya hapa Tanzania inaitwa kivuko. Tanzania Online Shopping gateway. Kwa yeyote ambae amewahi kufanya manunuzi tafadhali atueleze uzoefu...
Mimi ni mwajiriwa serikalini kwa kama miaka kumi sasa, ningependa kufahamu, nikiagiza gari 4rm japan ama kokote, exemption yangu itanisaidia vp?? msaaada wa haraka jamani wana jamvi.
Dar suspends Oysterbay, Masaki plan
By Florian Kaijage
8th May 2011
The Government has been forced to suspend implementation of its new Development Plan for the Oysterbay and Masaki...
Salaaam wana jamii forum...nina mtaji wa sh mil 5 nina ideas kama mbili hivi je nifuge nguruwe kule shambani kisarawe au niungane na best yangu tufungue duka la nguo za watoto.
Natumaini mtanipa...
Tanzania MPs to block $20m payment to Indian firm
A railway engine belonging to the Tanzania Railways. Photo/FILE
By MIKE MANDE
THE EAST AFRICAN
Monday, May 9 2011 at 00:00
Tanzanian...
Wana JF
Ni duka gani (DAR) naweza kupata pikipiki za SUNLAG kwa bei nzuri, nimeelezwa pikipiki hizi zinadumu kidogo. Kuna aina nyingine ambazo zina sifa nzuri na bei zake ni poa.
(FT) -- Apple has overtaken Google to become the world's most valuable brand with an estimated brand value of more than $153bn, according to new rankings published on Monday.
For the last four...
Umeme mgawo 16 hours na ukweli hakuna hope kabisa maana serikali iliyopo na records zake sana sana tatizo litaendelea kuongezeka kila siku,hii inafanya maisha yanazidi kuwa magumu maana hata watu...
Hivi karibuni kuna kijana moja ambaye baba yake ndio kiongozi wa jamhuri ya muungano wa tanzania alidai/alitamkaa kwamba watanzania wanatakiwa kuelewa kwamba kila mtanzania/wengi wa watanzania...