Toyota Cresta Baloon.
Colour: Silver.
Engine 4s.
Haijafunguliwa engine wala gear box, na pia haijagonga wala kugongwa. Ipo kwenye hari nzuri sana haina tatizo lolote na inatembea.
Kwa...
Shamba linauzwa, kiluvya karibu na kwa Sumaya, ni ekari 20 jumla yake ni Mil 70. Lipo kilomita 9 toka barabara ya dar-morogoro.
mawasiliano. 0784 419030
Nataka kufungua biashara songea mjin jamani nisaidien kutafuta kama unayo namba ya dalali pia nimeona bora nijiari nndugu zanguni naomba mnisaidie tafadhali sana
Salamu wakuu. Nina mtaji wa 3ml nataka nifanye ujasiriamali maeneo ya BUGURUNI, BUNGONI, AMANA AU ILALA BOMA, naombeni msaada wa mawazo ni biashara gani nitaweza kuifanya kwa mtaji na maeneo hayo?
MUVYULU ni Muungano wa Vyama vya Msingi toka katika vijiji 9 vya Tarafa ya Lupembe.MUVYULU kilianzishwa mwaka 1998, kimesajiliwa kisheria , na kinaongozwa na Bodi ya Wakurugenzi, wakiwakilisha...
CAG opposes sale of ATCL, TANESCO
By Fumbuka Ngw'anakilala
THIS DAY
28th April 2011
CAG - Ludovick Utouh
THE Controller and Auditor General (CAG), Ludovick Utuoh, has urged the...
By Michael Haonga
29th April 2011
Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) and a Chinese firm known as SINOHYDRO yesterday signed a memorandum of understanding (MoU) for the development of...
Hello mwana JF unayesoma,
Leo nimeamua kuchangia machache katika suala hili. Ninaimani watakaohusika watajifunza. Radio na TV nyingi hapa nchini kwetu zimeshindwa kufanya vizuri zaidi kwa sababu...
Wapendwa, Salaam aleikum;
Naanza kwa kuhoji: 1. Ni wangapi kati yetu sisi tunaochangia humu tuna shiriki katika masuala yanayohusu Halmashauri na seikali zetu za mitaa huko tunakotoka?
2. Ni...
Commission Agent Wanahitajika (ARUSHA,MWANZA,MBEYA,DODOMA,MOSHI) .
Sifa ;
-Awe na kampuni iliyosajiliwa .
-Awe na ofisi karibu na barabara .
-Ofisi iwe na internet .
-Kwa mwenye huduma za...
Ndugu wana JF, naitaji kununua gari kwa matumizi ya shughuli zangu za binafsi. Nina chaguo mbili kati Carina au Honda Fit, ni ipi imara kwa upande wa kuvumilia mda mrefu bila matengenezo? najua...
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
Amani iwe kwenu nyote wana JF!
Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
(1) kwa nini...
To successfully start and manage a business you must have what it takes in a few essential aspects. As a person you must be determined and hardworking.
I came to learn that a good number people...
Most definitions say that a franchise is a form of business in which a firm which has already a successful product or service known as a franchisor enters into a legally binding commercial...