Natafuta patna kwenye biashara ya uvuvi
ninayo leseni ya kuniruhusu kuvua kwenye pwani ya Tanzania.
au kama kuna mtu anayo data base ya makampuni ya nje yenye nia na shughuli hii pevu ya...
Inasemekana Manji ana jeshi la watu kama 70 hivi wote kazi yao ni moja tuu
kubid tenda zote za serikali ya TZ kwa kutumia shell companies
sasa nauliza mtu unainawezaje kuingia kwenye hiii...
Mashara wangu unakatwa 30% PAYE. kile kidogo kinachobaki, kwa kila elfu mbili ninayolipa kununua lita moja ya petroli serikali inachukua sh. 600, Kumbuka hii ni baada ya kunikata 30% kwenye...
When you say that successful businesses are governed by skill and not chance, some people will try to say no. Their argument often is that they know so many people who have succeeded without any...
Polisi mkoa wa Mwanza inamshikilia mkazi wa mkoa huo anayekadiriwa kuwa naumri unaozidi miaka 75 ambaye amejitetea kuwa analima na kuuza bangi ili kukabiliana na makali ya maisha. Source Star TV 23/04
Please serikali ya bara ijaribu kuleta wawekezaji wa kujenga mahoteli ya beach resorts, wamwaga watalii kuliko hao tunaowaona Zanzibar.
Bahari yetu katika baadhi ya sehemu ni nzuri kama ile ya...
wakuu, media tena. Sasa nina nyeti kwamba ukiyaona ya firauni utashangaa ya musa. Mwananchi communications limited nako kuna mambo ya ubaguzi katika mishahara baina ya watanzanyika na wakenia...
Jamani watanzania hivi hii stand yetu ni sawa kuwa na mlango mmoja tu wa kutoka magari au mpaka litokee balaa humu ndio tuanze kutafuta wa kumlaumu hata ukija alfajiri hapa wakati wa kutoka...
Ndugu wabunge msiorasmi wa JF (hamjatangazwa na NEC ya mafisadi). Katika mkutano wa wajumbe wa mikoa wa chama cha wafanyakazi-Tanesco; moja ya hoja nzito walizozitoa ukiacha ile ya DOWANS ni juu...
WAZIRI Kivuli wa Fedha na Uchumi, Zitto Kabwe ametaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ichunguzwe kwa uzembe wa kushindwa kukagua hesabu za ruzuku za vyama vya...
Katika taarifa ya habari ya saa 2 inayoendelea hivi sasa, Nappe amesema Chama cha Magamba (CCM) kikishamaliza kushughulikia mafisadi ndani ya chama chao watahamia kuwashughulikia mafisadi/miungu...
Ikiwa wanalalamika hawapati kipato cha kutosha mbona wanawaendekeza makampuni?
hivi msanii katika nyimbo yako unataja jina la company kwa kushukuru?
hivi amejiuliza hiyo nyimbo inapigwa na media...
Habari zenu wadau?
Naomba msaada wenu.
Ni sehemu zipi kwa mikoa ya Rukwa(mfano Mpanda n.k) na Tabora nitapata mazao yafuatayo:
Mahindi: Debe moja (ndoo ya lita 20) - kwa bei isiyozidi sh.2,500/=...
wadau wa jf, naomba mnisaidie kwa yeyote mwenye idea ya mikopo! je ukikopa bank mil 50 kwa kutumia hati ya kiwanja(nyumba), utaitaji kurudisha hiyo pesa kwa mda gani na kiasi gani kilia mwezi! pia...
nauza VW polo ya mwaka 2001,km 114000,silver color,cc1600.imeingia tanzania mwaka 2010 june bado mpya.bei milioni6 maongez yanaruhusiwa.piga 0755943446.
Kuna taarifa kwamba twiga wanne walisafirishwa kinyemela kupitia uwanja wa ndege wa KIA wiki mbili zilizopita kwenda ughaibuni.Hizi habari zinashangaza sana,yaani twiga walivyowakubwa wapitishwe...
Habari kamili inapatikana hapa chini
Gold price breaks through $1,500-an-ounce barrier | Business | The Guardian
Gold price breaks through $1,500-an-ounce barrier...
Hakika Jakaya ameishiwa kwanini vikao vya ndani na mawaziri wake kwenye tv inauma sana kwani wao hakuna walilofanya na wanaonyesha uchafu wake kwenye Kipindi anachokiita maalumu ikulu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.