Hii huduma ni nzuri sana lakini imekuwa na mapungufu katika kipengere cha kutaka kujua akaunti yako ya benki ina kiasi gani cha fedha kupitia simu yako pamoja na mengine kadhaa. Je kuna tatizo...
Nimekuwa mnywaji wa heneken tangu miaka ya 90, hakuna bia iliyo nishawishi kuacha heneken kwani ilikuwa kinywaji bomba sana.
kwa cku nilikuwa nanywa si chini ya sita.
Lakini baada ya...
Gross income ya Mheshimiwa ilikuwa ni $1,728,096, ambazo kapata kutokana na mapato ya kuuza vitabu vyake.
Idara ya mapato au watu wa kodi wamekata asilimia 25 hivyo kodi aliyochukua Taxman...
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1...
na Sitta Tumma, Dodoma
MWEKEZAJI wa Kiwanda cha kutengeneza nguo cha Mutex kilichoko Musoma, mkoani Mara, amesalimu amri iliyotolewa na mbunge wa Musoma mjini ya kumtaka kuanza mara moja...
Maafisa waandamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wanatuhumiwa kumshauri vibaya Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk. Norman Sigalla, na Mkurugenzi Mtendaji, Melkizedek Humbe, na...
Kwa kuwa vyama vya upinzani vinapewa fedha ya ruzuku kutoka serikali ya CCM, Ni vyema na haki kwa wananchi kuelewa mapato na matumizi ya hizo ruzuku na tusisubiri report kutoka kwa CAG, kwa kuwa...
Mwenyekiti Halmashauri ahamasisha maandamano
Imeandikwa na David Azaria, Geita; Tarehe: 18th April 2011 @ 23:40 Imesomwa na watu: 88; Jumla ya maoni: 0...
Serikali ya Kenya imeweza kujaribu kuwaondolea wananchi wake ugumu wa maisha kwa kupunguza bei katika mafuta. Kuanzia Kesho bei mpya itatangazwa baada ya kushusha asilimia 30 kwenye mafuta ya taa...
Russell Southwood
London Intermedia has released the latest in its Audiencescapes series of surveys of media use in African countries. The survey covers Tanzania and contains a number of...
THE Bank of Tanzania (BoT) has said that the current depreciation of the shilling is a result of a strong US dollar at international level. However, the central bank says that it has no plans at...
How to manage My monthly
salary? For example,
If my salary is Tsh 250,000/= How should
I save? am asking for help cos i thnk am spending alot that i earn.
Jamani mengi yamesemwa kuhusu ripoti ya CAG nikipiga hesabu za harakaharaka naona kiasi cha trillioni moja na ushee hivi zilikombwa na wajanja kwenye halmashauri, mawizara, idara na makampuni ya...
The writing has been on the wall for a long time. On Friday March 25th, 2011 the Government of Tanzania (GoT) finally come out with an hard-hitting but somehow confusing statement to the effect...
Pinda: No clues when will power cut end
By Florian Kaijage
17th April 2011
Prime Minister Mizengo Pinda
As the country approaches the fifth month since the commencement of countrywide...
Mamlaka ya maji na kampuni ya simu TZ ni Taasisi ambazo zimekuwa zikipata hasara kubwa kila mwaka je mchawi wa tatizo hilo ni nani? Kwa mtazamo wangu mimi ni wao wenyewe,tukianza idara ya maji...
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.