Serikali kujihusisha na biashara za mafuta ni nia ya viongozi kutafuta rushwa badala ya kujali wananchi. Serikali inashidwa kutatua tatizo la umeme la kununua Generator lakini badala yake inataka...
Moja kati ya Vigezo vikuu vya Miradi ya maendeleo ya Jamii ni ushirikishwaji wa wadau husika. Kushirikishwa kwa wadau kuna faida nyingi ikiwemo, kuleta mchango mkubwa kimawazo kutokana na...
...WanaJF siku za karibuni nimekuwa napata sms nyingi toka VODACOM zinazobeba ujumbe ufuatao..."Wewe ni.....? umepewa namba ya siri SC1 na umechaguliwa kushiriki droo leo usiku ya kushindania Tshs...
Wana JF! Mtaniwia radhi kama naleta hoja mahali pasipofaa, ila nahitaji msaada.
Tunatafuta mtaalamu wa ukweli kufanya finishing (carpentry works) ya nyumba kubwa ya vyumba vitano including...
URGENT: A three bedroom, fully furnished house, is IMMEDIATELY REQUESTED, for lease in the Masaki Suburb of Dar es Salaam. The budget is USD 4,000.00 per month, payable annually. If you are the...
Let start from the beginning how is M-Kesho going to work.? M-Kesho, unveiled by Equity Bank and Safaricom , will allow M-Pesa account holders to deposit and withdraw cash, and get loans. The...
kwenu wana jf...nina idea za biashara, bt sijui jinsi ya kuandika business proposal. mchango wa mawazo ya jinsi ya kuandaa business proposal. Help mi out hea.
Salaam wapendwa, kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha business linkages kutokana na uhitaji wa wafanyabiashara wetu. Natafuta mtu mwenye utayari wa kufanya kazi hii.
Asante
Annina
Jamani hivi watanzania tutaendelea lini?ni lini njaa na tamaa zitatuishia?sasaivi zimekuja leseni mpya,walisema ya kwamba hizo leseni hazita tolewa kizembe na kwawale waliopata leseni kiuwizi...
wakuu nalazimika kupongeza hatua ya awali ya lukuvi kuhusu open spaces [dar es salaam].... pia napongeza sana hatua ya kusimamisha baadhi ya watendaji
sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa...
Heshima kwenu wanajamvi.
Jana nilipata ujumbe wa sms from AIRTEL kwamba wamezindua huduma yao kijiji Samunge Loliondo kwa Mchungaji Babu.Ndugu jamaa na marafiki sasa mtaweza kuwasiliana na jamaa...
Habari za kazi wana JF.
Tafadhari naomba msaada kwa anayejua kuhusu m-pesa. Nilimtumia mama mkubwa pesa kwenye namba ya simu aliyokuwa anaitumia bila kuuliza kama hiyo laini ameisajili au...
Our Projects
Sonora Gold & Silver Corp. is a Vancouver-based mining exploration company focused on exploration and development of precious metal projects. Sonora has looked to stable mining...
Monday, 11 April 2011
By Martha Malitinyu
An international NGO has unveiled discrepancies of over US$32m between what the mining companies are paying in form of taxes and royalties and the actual...
Habari zenu Wana JF.(GREAT THINKERS). Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wenu wapi naweza kupata hiyo kitu na bei yake inakuwa ngapi? Nasikia ARUSHA kuna kiwanda kinatengeneza TRANSFOMER...
Wakuu,unapofungiwa umeme unalipia kila kitu,nguzo,mita,service line,wire,usafiri,vibarua n.k.Unaponunua umeme kwa sasa ni wastani wa TShs 195 kwa unit moja.Ni garama sana.Mi nauliza kwa wale...
Wakuu,
tafadhalini nipeni ushauri wa kibiashara.eti kwa mtaji wa shilingi milioni tano naweza kufanya biashara gani hapa dar?
nitafurahi sana kama nikielezwa hata kwa kifupi inalipa vipi hyo...
Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa.
Hivi nani katengeneza hili...
Mimi ni kijana wa miaka 21, a graduate in bachelor ov masscoommunication, nina idea ya kipindi cha tv, bt sijui pa kuanzia ili kufanikisha! some1 wit an idea?? help.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.