Mwanzoni mwa miaka ya 1960 Tanzania ilikua na GDP per capita ya USD (around) 450 na south korea ilikua 149
.
Mwaka 2000 (miaka 40 badae sisi tukia nchi huru tunajitawala wenyewe, ooh sorry...
Naona sasa Zantel wameshaanza kuchokoza customers!
Its Monday morning, and I needed 2GB bundle, for 10,000 as usual, for Internet connectivity to pull myself up for the viporo vya kazi...
Dar housing project gets $6.2m boost from Shelter Afrique
Omar Ali (left) financial advisor and Suleiman Dualeh, managing director Integrated Property Investments sign a financing agreement...
Back in the 70's, Radio Tanzania (RTD) used to run a propaganda piece, usually following the news and 'Mazungumzo
Baada ya Habari' that went: "Ubepari ni unyama; Ujamaa ni utu". For added...
Tanzania BOP surplus $321.5 mln in year to Jan
Sat Apr 2, 2011 9:43am GMT
Tanzania's balance of payments recorded a surplus of $321.5 million in the year to January, down from a surplus of...
Salute kwenu wanaJF wote.
Jamani wenye magari ya kusafirisha abiria changamkieni nafasi hii usafiri wa kupeleka watu Loliondo toka serengeti kwenda kwa babu na hii ni baada ya serikali kuzuia...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma , kimeingia kwenye malumbano kuhusu mamilioni ya fedha za mradi wa hosteli ya CCM zinazodaiwa kutafunwa na baadhi ya vigogo wa chama hicho mkoani hapa...
Suala la kuchakachua mafuta ni baya sana, tena ni uuwaji. Ni simu inayotuua kwa kufanya kazi taratibu. Kwanza mafuta bei juu. Halafu yamechakachuliwa. Hii maana yake inaua magari. Sina haja...
Akitembelea Wizara ya Viwanda na biashara,JK ameendelea kutoa kauli zake zenye mzaha na kutia hasira aliposema ati hajui kwanini Tanzania yenye maliasili mbalimbali zenye kufaha kutumika kama...
Polisi yahojiwa kutengeneza helicopta kwa Sh 1.2 bn
Exuper Kachenje
WABUNGE wa Kamati ya Hesabu za Serikali, wamehoji matengenezo ya helkopta moja ya jeshi la Polisi kugharimu zaidi ya Sh...
Financial planning or budget making is often easier said than done. This generally involves analyzing your current financial position and predicting short term and long term needs. Putting aside...
Habari wadau..
perfumes,saa na mawani kwa bei za jumla . Aina yeyote ya bidhaa za makundi hayo zipo..order ndogo pieces 50 bei ya piece moja haizidi $ 20..order ndogo ya chini pieces 50 hatupokei...
Kiwanja chenye ukubwa wa 6000sqm kinauzwa maeneo ya Wazo Hill karibu kabisa na shule ya Wazo Hill High School. Kina Offer letter.
Ni eneo linalofaa kujenga shule, business complex, nk.
Kama...
Taking a personal loan to finance an investment or an emergency is an issue that most of us face. However, your financial health and money management skills will determine whether this loan will...
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri...
Wadau nina Jaguar S-type 4.0 2001 Model. Gari hii ni left hand na inatoka USA (American Quality). Ina Kila kitu na ni Silver na Black leather ndani. Imefika 100k miles juzi tu Je naweza kuiuza...
Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.