Ndugu wadau,
Kwa huduma ya music na MC wa sherehe za Harusi, Send off, Kitchenpart nk. tuwasiline wadau.
Pia tuna uzoefu wa kufanya promotion za bidhaa mbali mbali kutumia muziki na dancers. Na...
TOKEA JUMAPILI NIMEPATA SHIDA YA KUTUMIA MODEM YANGU YA VODACOM ,KILA NIKIWEKA BANDLE WANAKATA HELA NA SIPATI MEGABITE HATA MOJA ,NIMEPIGA SIMU MARA NYINGI HUDUMA KWA JAMII WANANIAMBIA TUPE MUDA...
DAR ES SALAAM, TANZANIAThe Tanzania Shilling depreciation has reached an all time low since independence some 50 years ago, but the Bank of Tanzania (BoT) says it has no plans to intervene...
Serikali inatarajia kuunda chombo cha kudhibiti riba za mikopo katika taasisi za fedha nchini ili kuwaondolea mzigo wananchi wa kutozwa riba kubwa.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Fedha...
Kutokana na Radioactive zilizopatikana Taiwan kwenye maharage!!Yaliyoagizwa kutoka Japan Nidhahiri hivyo mionzi ya nyukilia itakuwa imesambaa sehemu nyingi za japan!Hivyo hata katika magari...
Kuna wakati niliwahi kuwaleta hapa taarifa kuhusu ubovu wa baadhi ya bidhaa zinazouzwa katika maduka makubwa ya bidhaa (supermarkets) zinazomilikiwa na "wakoloni" nchini hasa zile za vyakula...
Sat Mar 19, 2011 12:46pm GMT
* Same inflation trend in Kenya, Uganda, Tanzania
* Food prices up 3.0 percent during the month
* Analysts see double-digit rate in second half
DAR ES SALAAM...
Nimemsikia Naibu Waziri Mahanga katika Redio Uhuru (Utumwa?) akidai eti kuna Watanzania milioni 22 walio na ajira na kuwa wanaosema kinyume cha hivyo hawakipendi chama chake cha CCM na ni...
Leo nimepokea kwa masikitiko juu ya demurrage ya meli za mafuta bandari ya DSM ni dola 18000 ambayo ni sawa na kama 27.3million za kitanzania ie todays evening news
Kisa hakuna boya kwa ajili ya...
Kuna taarifa za uhakika kuwa yule mwandishi mkongwe wa habari Corp, kampuni inayomilikiwa na fisadi Rostam Aziz, Mayage S. Mayage ameikimbia kampuni hiyo kwa kuwa imeshindwa kumuongezea mshahara...
Unaweza hisi ni vituko lakini ndicho kinaendelea hivi sasa tatizo la ku overbook abiria linazidi kuwameza precissionair pale group la watu 48 liilipokata tkt na kuhakikishiwa safari ya Zanzibar...
Nasikia kulikua na mpango wa kuwauzia wafanyakazi wa Vodacom zile voda shops, ni wafanyakazi pekee ndio waliotakiwa kuzinunua.
sasa nasikia EL kachukua voda shops za morogoro zote. je ni kweli
Turkey offers Tanzania loan deal
Tanzanian Finance Minister Mkulo said that Turkey's credit offer would be submitted to the council of ministers.
Turkish State Minister for foreign trade...
Nimekuwa nikipiga simu ya huduma kwa wateja tangu mwezi december mwaka jana kutoa malalamiko juu ya uduni wa huduma ya internet ya blackberry. Mara zote nimekuwa nikiahidiwa kuwa suala langu...
Hizo ni T-SHIRTS AMBAZO ZIMEGOMBANIWA SANA NA ZINAZIDI KUGOMBANIWA...km una duka unataka kuziweka au hata kuzitembeza ili upate faida nzuri mcheck mdau Kisanga (0713 123788)...kazi kwenu...
Jamani wasomi, wafanyakazi serikalini na wadau wote kwa ujumla..kama kuna mtu yupo karibu na decision makers wa nchi hii....ebu mtujuze Mgao unaisha lini maana hata juzi sikumpata vizuri mkuu wetu...
Your friends and relatives may want you to guarantee loans for them. This is a noble thing to do but it can land you in big trouble, like ending up in jail. Before you guarantee a loan for...
Ukisoma katika CNN utaona kuwa bei ya mafuta katika soko la Dunia imeshuka tangu ijumaa.
SOMA HAPA - SOURCE
Sasa EWURA ifanye kazi kwa haki, bei imeshuka katika soko la Dunia na sasa ishuke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.