Kwa mahitaji ya Diesel generators,Battery chargers,AVR-5,AVR-20 na zingine wasiliana nasi simu namba;0772740565
Pia mafundi wazoefu kwa kazi za generator installation na service wanapatikana
Spirits are likely to be calmed in the country following the report of an offer by Dowans (T) Ltd to waive aside its right to the 94bn/- settlement awarded by an international court of...
Wadau wa JF
nimeamua kuachana na Tanesco na Bili kubwa za Luku,huduma mbovu ya mgao,usio eleweka,Osterbay umeme haukatiki(nimeona mara 2 mfululizo-u may correct me on this),mgao wa upendeleo...
Wana JF
Nimedokezwa jioni hii kuna ESCUDO NEW MODEL (2002) inauzwa kwa bei nzuri - Tsh 12,500,000/=, kutokana na mmiliki wake kutaka kusafiri nje ya nchi siku ya jumapili (27/2/11).
I am working in a software, our products are very good, just have a try RZ Video Converter, it can convert any videos or audios between different formats with good quality, have a try by yourself...
Jamani waungwana hapa jamvini nimerudi tena.
Hivi juzi juzi nimenunua lorry la tani 10 ambalo linafanya kazi zake kuanzia saa moja asubihi hadi saa 12 jioni? Huwa linapumzika mchana tu pale...
Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. Bei 3ml negotiable.Kwa...
ZAIDI ya makontena 101, yalikamatwa hadi kufikia mwaka jana yakiwa na bidhaa bandia na bidhaa hizo kuharibiwa huku wahusika wakifikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro...
Ndugu zangu naombeni ushauri, kuna kitu kinanipa changamoto sana, nina wazo la bishara ambalo nimelifanyia utafiti wa kutosha tatizo sina mtaji kwa maana ya cash/pesa taslimu
Naomba msaada wetu...
Leo jambo hili nalirudia hapa kwa mara ya pili. Hapa Golden Plaza "joint venture " wa NHC anatufanyia maajabu. anatutoza Huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima chumvi tupu na walinzi wasio...
Nini maana ya kuwa mhitimu katika fani au sekta husika? Je Watanzania wasomi tunaelewa maana halisi ya kujishughulisha na fani/utaalamu fulani au kusomea fani hizo kama ijulikanavyo na wengi wa...
Kuna kamtindo ka watu kupenda kujionyesha kwa kuvaa labels - ati Gucci, Prada, Versace,dolce & Gabana etc..etc....tabia hii inanifurahishaga sana maana sijaelewa sana hii obsession inatokana na...
Wanajamii, soma habari hii chini. Nimeichukua toka TIJA. WATANZANIA TULISHINDWA NINI KUENDESHA HII BANK, MAKABURU WANAWEZAJE[/I][/B]
QUOTED:
"Nakumbuka miaka michache iliyopita hii bank ikiwa...
Salaams wana JF,
Tafadhalini sana, naomba ambaye ana contract za wauza mbao wa Msumbiji,
au wa TZ wanao import mbao kutoka Msumbiji, anipatie.
Nahitaji Mahogany, Afrormosia, Mninga, Panga panga...
The Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) should do something about mobile phone subscribers being bombarded with unsolicited SMS from network operator.
Mobile phone companies have...
wanajamii,
Nimeona niwataarifu WANAJAMII tatizo hili linaloweza kukupata pindi utumiapo NMB mobile kununua say LUKU. Jana nili-login kununua umeme nikapata alert SMS kuwa NOT AVAILABLE...
PART 1
Kuna msemo usemao pesa uliyonayo mkononi leo ina thamani zaidi ya pesa utakayokuwa nayo mkononi kesho. Pia kutoka katika nadharia ya Gordon (1959) kuna msemo mwingine usemao ndege...
Jamani tusaidieni sisi wapangaji wa NHC ndani ya jengo la Golden Plaza -Posta. HUyu Joint venture wa NHC amesainisha wapangaji mkataba wa kulipia huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima...
WADAU
Hapa chini kunatable ambayo inaonyesha ni jinsi gani nmb, ilivyopata faida kubwa kuzizidi bank, nyingine kubwa hapa tanzania, karibuni tujadili, but make sure unaangalia kwa umakini , net...