Nimekuwa nikiathirika sana na hili suala. una baadhi ya sehemu wanakataa kabisa kupokea Dola za Kimarekani ambazo ni za mwaka 1999 kurudi nyuma, mfano Exim Bank pale Mliman City wakati sijawahi...
Habari wana JF?
Nina kampuni yangu nimeisajili kila kitu, ilikuwa vizuri kimtaji kabla ya kuiacha na kwenda kutafuta elimu zaidi. Gharama na maendeleo ya shule yote nilikuwa natoa kwenye...
Dear Sir
I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager.
Each time I apply for employment I am told there is no...
Hivi punde nimetokea mitaa ya kati kuutafuta mchana mwema, hapa NMB morogoro Rd. branch kuna foleni kubwa ndani kiasi kwamba Binti mmoja ameshindwa kuhimili amedondoka na kuzirai hivi nimepishana...
Jamani cjaelewa kabisa yaani P.A.Y.E kwa wafanyakazi ni kubwa mno!
Yaani inatisha, mie kila nikipokea salary slip yangu nazidi kuichukia serikali kwa kunikata pesa zangu tele na huku maisha...
Hizi pembejeo za kilimo zinazo tolewa nchini!ni matatizo tupu.mkoa knjaro wilaya ya HAI MACHAME MASHARIKI 50% ya wajane yatima wamekosa.na nimojawapo ya watu wenye mashamba.chakushangaza,30% ya...
Huwezi kuamini NBC mlimani city Dar hua inatakiwa iwe imefunguliwa kuanzia saa 4 asubui,ila mpaka sasa hawajafungua.Wateja wamejaa hata ATM hazifanyi kazi.NBC imekua inafanya vibaya sana kwa...
Wandugu kuna ndugu yangu kaibiwa fedha zimechotwa kwenye account yake na kuwekwa kwenye account za watu wawili tofauti, Hili limetokea bank ya NMB halafu wahusika wa bank wamepewa taarifa lakini...
serikali ya mtaa wa Oysterbay inatoza ushuru wa ku park magari coco beach Tsh 700
Hizi pesa zinaishia wapi?
Ili serikali ya mtaa itoze ushuru wa maegesho , bylaws zinatungwa au ni wazo la...
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
jamani wadau natafuta hizo battery baada ya zile nilizokuwa nazo kuisha.nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali bila mafanikio.anayefahamu wapi napoweza kuzipata tafadhali!
Kushindwa kwa serekali kusimamia uwajibikaji kwa umma kumesababisha Ugumu wa maisha nchini kwetu. TRA kama moja ya vyombo muhimu sana katika uchumi wa nchi imekuwa ndio kikwazo kikubwa sana cha...
Unainua simu yako bila kujali upo nchi au nchi ya nje unaamua kumpigia jamaa yako aliopo TIGO wakati unasubiri muito wa simu, ghafla unasikia kwa kuchagua nyimbo bonyeza moja.
Huu na mitindo...
Kesho mh john mnyika atafanya mkutano wa hadhara viwanja vya tanesco kesho nasema tena tena mpaka kieleweke tukutane kesho wale wote nyumba zitakazovyunjwa bila malipo'matatizo ya maji'na mengneyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.