Jamani hebu tusaidiane hilim limachinga complex lini litaanza kazi yake?
Naninani alitoa wazo la hili complex?
Nadhani ni pesa nyingi zimetumika, sasa serikali huu mradi vipi?
Nimewaza...
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source...
Jamani wadau kwa utafiti nilioufanya, tangu CHADEMA wafanye maandamo ya nguvu huku kanda ya ziwa na kulalamikiwa na viongozi wa serikali na baadhi ya wanasiasa uchwaraa, sijaona hata kituo kimoja...
Jana nilimtuma kijana akanunue LUKU ya Tsh. 12,000/= hapo maeneo ya Science.
Cha ajabu kaja na Unit 45 tu. Nilipochunguza, nikagundua units hizo chache zimesababishwa na mlundikano wa kodi...
WAKATI SISI BADO TUKO KWENYE POROJO
NA HII NCHI YA MAANDAZI ECONOMY....TAZAMENI WANIGERIA......
World's
Billionaires
Forbes 400 Richest Americans
World's Most Powerful People
America's Best...
Firm starts phase 1 of exploration in Tanzania Send to a friend Thursday, 10 March 2011 21:59
Vancouver. A mining exploration company, the Tanzania Minerals Corp, has started drilling its 100...
"..I feel we support some countries that really dont give a shit about their own people.." - Sjoera Dikkers (MP)
The Netherlands wants to terminate its development cooperation with 15 countries...
Wadau wa anga naona wiki hii kuna nyuzi nzuri hasa wale walio majiran na zitokabwe na wengineo..baada ya tren kushindwa kufika kigoma na kampuni iliobakia ATCL kutundikiwa
maji ya uchungu ICU sasa...
The Dutch government is ending direct budget support to TANZANIA. Here is why: "Labour (opposition) MP Sjoera Dikkers regrets that the government is cutting.. ai..but agrees with decision.
I am...
Inflation in Tanzania doesnt correlate with nation wealth status!
Mr Mkwere is the first Pres who is Economist by profesion! It was my optismistic dream & great hope that we get emancipist...
Forbes list of world's richest people
Name
Wealth
Main business
Source: Forbes magazine
Carlos Slim
$74bn
America Movil, telecoms
Bill Gates
$56bn
Microsoft, software
Warren Buffett
$50bn...
Watz tupo katika giza sababu ya mgao wa umeme ambao haujulikan lini mwisho wake. Jambo la kushangaza mno ni kwamba pamoja na huu mgao, wateja wa Tanesco wanaotumia mita za zaman wanalipa bill kama...
Naombeni mnisaidie jaman ni jambo gani ambalo Kikwete kalifanya katika awamu yake ya kwaza ambalo litakufanya wewe kama Mtz umkumbuke Rais wako huko mbeleni?
Saturday, 12 March 2011 10:29
Fredy Azzah
WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wameishutumu Wizara ya Nishati na Madini kwa kutoa maagizo ya upendeleo wa kutokata umeme...
Mi binafsi nakiona chama cha mapinduzi ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwani kimesheheni viongozi wasio na muono pia dira na hivyo kuliingiza taifa katika mzozo na dimbwi la...
KUNA MAMBO MENGI YA KULETA TANZANIA NA KUBUNI NJIA ZA KUIWEZESHA NCHI
KUINUA UCHUMI MIMI NADHANI HII INAWAWEZA KUTUSAIDIA KAKA USAFILISHAJI www.lifeofmshaba.com: UBUNIFU WA USAFIRISHAJI HUKO...
Dear coallegues, JF members,
It has just come in mind that POVERTY, DISEASES and IGNORANCE which used to be our great enemies have recently changed to be the dearest friends of ccm. When it...
Gavana ndulu inabidi ajiuzuru kwa kulitia taifa letu hasara ya mabilioni ya shillingi. alipokuwa akitoa sababu za kubadilisha pesa alisema pesa zilizopo inabidi zibadilishwe kwa kuwa hazina ubora...
Wadau naomba kusaidiwa uelewa katika hili. Hivi ni lazima kwa watumishi wote wa serikali, mashirika ya umma na yale yasiyo ya kiserikali kuhifadhi mafao yao katika mfuko wa NSSF?. Na kama si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.